Home
Unlabelled
kelvin na gatty wameremeta
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hongera Dogo.
ReplyDeleteSasa Umekuwa.
Ila, mbona picha ni passport size? Bibie alikwishavalishwa 'engagement ring' ya asili nini?
Maisha mema ya ndoa.
Dogo Miwani hata siku ya harusi?
ReplyDeletemzeee wa kuchonga hongera sanaaaaaaa, ingawa umeninyima kadi. no sweat
ReplyDeleteUshamba huu tutauacha lini jamani?
ReplyDeleteHizo ngonjera, ngoja kama baada ya miezi kadhaa kama mtakula keki hivyo.
ReplyDeleteMaji ya moto sasa, yatakuwa baridi baadaye. Hivyo muoge mapema.
aaah wanameremeta na rangi zo za chocolate safi sana mungu awabariki katika ndo yenu mko juuuu sura zenu zinaonyesha mnapendana sanaaaaaa hongereni
ReplyDeleteupendo huu tuuone baada ya miaka kumi ijayo,dada usione mwingine ukamwona jamaa hafai,nawe kaka usione wadada wengine ukamwona mkeo kapitwa na wakati.Endeleeni kupendana,kuheshimiana,na kudhaminiana.Haya mambo matatu yasitoke kwenu,Mungu awabariki.Amen
ReplyDeletehongera sana gatty na kelvin, i wish u ol da best ktk ndoa yenu..
ReplyDeletehongera sana Ghatty kwa kuolewa. Nakombea kwa Mungu awape afya nzuri na maisha mema.Natamani sana kama ningekuwepo kwenye harusi lakini umbali ndio sababu
ReplyDeleteKila la heri,
Kaka Godlisten
Korea.
You all look very sexy. Maintain the same appearance until death seperates you. I wish you the best in your new life.
ReplyDeleteLUCY
Hey hongera kaka!
ReplyDeleteLots of wishes.
kaka hongera kaka
ReplyDeleteKaribu kwenye klabu
Dominic
Congratulations Kelvin and I wish u & ur wife happy life. Former Shaaban Robert School mate..Cheers!
ReplyDeletewatu wanaoa kila kukiha ,hivi mie nitaoa lini??lol!!
ReplyDeleteHongera kaka wee hongera, na dada pia hongera!
ReplyDeleteSasa umepata wako kaka mahawara na wakome!
Sasa umepata wako dada mahawara nawakome!
Mmetuita uwanjani kututangazia sio siku mbili tatu mabegi yako kichwani, eti nimemuona msichana nikampa lift akanionyesha pipi sasa nimenogewa! Sasa umepata wako kaka mahawara na wakome!!
Leo wamlisha keki kama kinda la njiwa kesho macho juu kama kunguru wa Unguja, sasa umepata wako kaka mahawara na wakome!!
Eeh ndio iliyobaki sasa kufundana humu humu jando na unyago bloguni tumechoka malalamiko yasiyo na mashiko kila siku.
Bi Mkora
Hongera sana Mdogo wangu. Mungu hawabariki
ReplyDeletesister US
KAKA hongera sana toka enzi za kina mwalimu kajiru na seba hadi kufika kuchukua JIKO safi sana na hongera sana .tunawatakia mafanikio mema na maisha mema KAZA BUTI DOGO
ReplyDeleteHongera Kelvin.
ReplyDeleteWelcome to the club.Mungu awajalie maisha mema ya ndoa...Enjoy to the fullest...
na nyie mnaotoa comments za ajabu mshindwe, sijui watu wanafurahi nini kutoa coments mbaya..
Kelvin na Gatty mmependeza sana.
CG (X-Bunge)