ankal akiwa na wadau muda mfupi kabla ya kwenda kwenye mnuso mmoja wa nguvu. nyuma yao ni chrysler limo ambalo lilibeba maharusi. bongo tambarare ila basi tu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Mithupu hii fulanazi itabidi uigawe umekuwa too common mpaka inakera sasa!!!!!!!!! utafikiri uliachiwa urithi au ndo ya ngekewa katika upigaji picha tufahamishe tuelewe wadau! naona imetokea katika matukio mengi!!!!!!!

    ReplyDelete
  2. kimepaukaaa hadi kimekuwa cha njano naelewa unajua naongelea kitu gani ningekuwa jirani tu kingenitambua ningekianua nikikate kiwe kama kitop halafu ningekirudisha kwenye kamba he he heee ungejiju bahati nimekuja majuu ningekodi hata mtu nimlipe akifatilieee siku kimebahatika kuonja maji tu kingetambaa kudadadeki

    ReplyDelete
  3. kaka misupu heshima yako,

    nina swali 1 hivi hii fulanaz a.k.a form 6 ni ileile au kuna nyingine? mana imekuwa kama trade mark ya blog ya jamii.
    Mstaafu

    ReplyDelete
  4. Acheni bana....nyie mtamwambiaje ankal aachane na ze fulanaz, eeeh!
    ..Hiyo ndio trademark enyewe

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...