Kaka Michu!
MAXIMO akitumia utaratibu huu, hakyanani nakwambia
TUTACHEZA KOMBE LA DUNIA!
Hasa kwa wachezaji watukutu. Kichwa cha mwendawazimu itakuwa historia.
Hahahahahahahaaaaa!
Mdau Muddy
Hasa kwa wachezaji watukutu. Kichwa cha mwendawazimu itakuwa historia.
Hahahahahahahaaaaa!
Mdau Muddy
---------------------------
Mdau Muddy asante kwa video hii mwanana. mi nadhani hata benitez anatakiwa aige. yaaani hamna raha tena... dah!
-Michuzi
liverpool oyeeeeeeeeeee
ReplyDeletehaaahaaa mdau umenifurahisha sana its about time haaahaaa
ReplyDeleteah ngekuwa mm pale namkalia huku mwisho kwa mbaaaali ili makofi yasinipate...duh na liver wamefungwa na hadi na arsenal? heh heh heh mwaka huu mmh moto Chelsea tu
ReplyDeletemdau 999
NAUNGA MKONO KWA WACHEZAJI WETU YAANI NAONA HII NDO DAWA PEKEE SIO SIRI, YAANI TWAFUNGWA TU, KILA SIKU WAKIONDOKA WANAPOKABIDHIWA BENDERA WANATUAHIDI USHINDI NA NIDHAMU, UOZO MTUPU. XCCCCSCHWIIIIIII!!!!!
ReplyDeleteNa mbado milchonga sana.Mwaka jana mlisema sana.Na ubingwa hamkuchukua mwaka huu chungeni msiteremke daraja.Kwani Champions league msheshatolewa.Carling cuP nje.premier njee.Mmebaki mdomo.Anko kapime blood pressure mambo mazito.
ReplyDeletemama yangu haahahhaha...walah maximo akijaribu watamgeuza mboga uwiiiiiiii mdau asante nimecheka sana
ReplyDeleteyou made my Sunday thanks
ReplyDeletekumbuka kulipa deni limegonga £300mil au chagua team nyingine ushabikie kinyemela........
ReplyDeleteGood stuff. Fabregas and Vermaelen reported a screaming and furious Arsene at half time when Arsenal were trailing 1-0 to Liverpool. They both had never seen him like that before. Nani angered Sir Alex by revealing to the Portuese press how the great Scot shouts at players in the dressing room - with Ryan Giggs and Gary Neville facing the fiercest criticism. Who knows, may be most dressing rooms fall short of the slaps in the video. Add them in and results will be enhanced. Thanks for the video - again, that was good stuff...
ReplyDeletehahahaa huyo wa upande wa kulia katikati ameyaonja kidogo maximo amempendelea.
ReplyDeleteWaturuki wana matatizo sana "....olacak o kadar..."
ReplyDeleteKocha wa timu ya taifa ya Uturuki ndo anatumia utaratibu huu nini ? imetulia , nimeikubaki !!!
ReplyDeletemambo kama hoto, siyo kwamba wanalipwa mamilion ya pesa halafu wanaleta za kuleta, maximo fanya vitu basi, wakileta mchezo we weka kofis! ha ha ha ha
ReplyDeleteMaximo kumrithi Benitez?
ReplyDeletesafi sana hiki kiutaratibu kingefaa sana kwa stars manake ni wagumu sana kuelewa ndo mana huyu kocha kapandisha munkari... nyinyi jana kwenye mazoezi si niliwaelekeza hivi sasa kwa nini mnavurunda?? kofi..!!
ReplyDeleteUS Blogger)
ReplyDeleteMiminadhani haya makofi yanawafaa mawaziri wa Kikwete na nabii wa globu ya Jamii Yohanna Mashaka.
Mawaziri wakipewa fimbo ndani ya Ikulu kisirisiri basi watashika adabu na kufanya kazi kwa minajili ya wananchi.Ninaomba hiyo fimbo pia imwendee naye mashaka kwani ametuchosha na upupu wake hadi nikamfukuzu jamvini na kuandika utumbo wake
Maximo ahitaji hela nyingi, nipo tayari kuidhamini timu ya taifa ili ifike kwenye kombe la dunia. Wachezaji wetu njaa kali ndo maana. Hawawezi kucheza mpira huku wanatafuta mshiko za dili
Nipo Tayari kuipa timu ya taifa $10,000,000 yaani dola millioni kumi ili wafanye kazi vizuri. Mwambieni Maximo amtafute Dr. US-Blogger ili nimpe mshiko awagawie wachezaji wake, na yule masikini wa wall-street pia nitamlipa ili mradi atakuja kufany kazi ya kufundisha wanangu
Dr. US Blogger
Alumni Oxford University
Economics Department
WADAU HII KALI YA MWAKA, MI NADHANI MAXIMO AU YEYOTE ATAKAYEKUJA TAIFA AU TIMU ZINGINE AFANYE HIVYO WACHEZAJI WATAJITATUMA TU WAKIKUMBUKA KIPIGO.MIMI NIMEFURAHI SANA KUONA WENZETU WAKIFANYA HIVYO, KAMA FURGIE BWANA HACHEKI NA MTU WAKATI WA KUFUNDISHA MPIRA. HIYO NDO SIRI YAKE TU YA USHINDI NA SI NYNINE.
ReplyDeleteSAYS: MAKIMU
hiyo bwana wameiga kutoka kwa watu wa comedy ya kirusi, inaitwa nasha rasha, ikimaanisha urusi yetu, hizi video ni za mwaka 2006...
ReplyDelete1:anawapiga, baadae anampofua kipa macho ili asinunuliwe na timu nyingine,anamwambia kipa ajifunze kunusa harufu ya mpira
http://www.myvideo.de/watch/4803324/Russia
hapa walifungwa 3:0 na anawapiga ili wajifunze kuziba, baadae anawaomba sigara, halafu anawapiga kwa kua wanavuta sigara, http://www.vbox7.com/play:529f095f?r=google
Mwitamath
Mbona wachezaji wapo sita tu wengine wako wapi Hahahahaaaa
ReplyDeletehatudanganyiki
hii ndiyo yenye!!!!. na ngozi nyeusi bila kiboko haiendi, wazungu wanafundishwa kwa makofi itakuwa hawa wabongo. wapigwe mpaka bangi iwatoke, nidhamu haibembelezwi. Siasa mbovu ndo zinatuangusha. Big up mdau picha yako inafundisha.
ReplyDeletekhaaaa hahahahaaaaa
ReplyDeleteuyu wa kulia mwazoni kapona sana
hahahahahahaaa
hiyo nimeikubali kaka na ndiyo hasa aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa inatakiwa kwa wabongo kwani kujituma ni zeroooooooooooooooooo tena sio kwa wachezaji tuanziae kwa serikari yetu kwanza,makofi tu
ReplyDeletendio mambo yatakwenda muzuri
Kwa wale mnaoliona tangazo letu la bud light beer,hiyo itakuwa "Too Heavy"
ReplyDeleteKaka michuzi fanya juu chini kocha huyu au wa sampuli yake tupate contact zao tuwashawishi TFF tujaribu na staili hii njia zingine zote zimeshindikana, nimeipenda sana asante. Mdau wa soka aipendae Taifa Stars.
ReplyDeleteNAONA NI MAZUZU/MAZEZETA HAO WAKO SITA YEYE MMOJA TU WANASHINDWA NINI KUMVAMIA NA KUMPA KIPIGO CHA MBWA MWIZI, NCHI GANI YENYE WATU WAJINGA!!!
ReplyDeleteNdio hii inafaa kabisa kwa sasa tusilete utani
ReplyDelete