Home
Unlabelled
kp leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
michu umenikumbusha hiyo katuni juzi niliwatch documentary channel. ilinishangaza sana researcher mmoja wa kike alirecord issue ya simba wa porini akiishi na ka ndama kwa siku kama 25 hivi, kama mama na mtoto sikuamini macho yangu na hakuna aliyeamini mpaka kalipoliwa na simba mwingine.sijui wadau hasa wa elimu ya viumbe wasemaje kuhusu hiyo nature kwani they had a real natural bond.
ReplyDeletehata virusi vya ugonjwa wa ukimwi ni vidogo sana lakini vinaua majitu makubwa kaka..
ReplyDeletehii simba kama siyo gonjwa basi iko kanisi
ReplyDeleteHauhitaji kuwa na uelewa saana Wa cartoon ili Masoud ni mshabiki wa simba that much i can tell.
ReplyDelete