Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. michu umenikumbusha hiyo katuni juzi niliwatch documentary channel. ilinishangaza sana researcher mmoja wa kike alirecord issue ya simba wa porini akiishi na ka ndama kwa siku kama 25 hivi, kama mama na mtoto sikuamini macho yangu na hakuna aliyeamini mpaka kalipoliwa na simba mwingine.sijui wadau hasa wa elimu ya viumbe wasemaje kuhusu hiyo nature kwani they had a real natural bond.

    ReplyDelete
  2. hata virusi vya ugonjwa wa ukimwi ni vidogo sana lakini vinaua majitu makubwa kaka..

    ReplyDelete
  3. hii simba kama siyo gonjwa basi iko kanisi

    ReplyDelete
  4. Hauhitaji kuwa na uelewa saana Wa cartoon ili Masoud ni mshabiki wa simba that much i can tell.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...