anko akiwa na mdau richard tarimo mbele ya leopard hotel mtaa wa market mjini moshi leo. richard, ambaye baada ya kuishi ughaibuni kwa karibu miaka 10 ameamua kurudisha timu nyumbani kusaidia kuendesha leopard hotel mjini moshi ambayo ni moja wa miradi mingi ya familia yake. na anasema hajutii kurudi na anajilaumu kwa nini kachelewa kurudi. mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni. hii hoteli iko juu kwa huduma bomba na malazi safi halafu bei ni ya kiwandani. tembelea mtandao wa hoteli hii http://www.leopardhotel.com/index.htm

richard na mdogo wake priscus (pili kulia) wakiwa na baadhi ya wageni wengi wa kitaifa na kimataifa wanaofikia leopard hotel mjini moshi. kulia ni rais wa chama cha tennis tanzania, Denni Makoi na pili kushoto ni kocha wa mchezo huo kutoka Denmark, Lawrence Bolges, ambaye yuko vekesheni moshi kabla ya kuanza programu ya kusaidia kusaka vipaji


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. PRIMO EXCELLENT WORK, KEEP IT UP MAN, HILLY

    ReplyDelete
  2. Congratulations - and best wishes for continued success! Ray.....

    ReplyDelete
  3. Ujarisimali

    ReplyDelete
  4. Mwanangu kweli, Leopard Hotel naifagilia kwa huduma nzuri na safi za malazi na chakula; February lazma nitie timu Mungu akinipa uzima.

    ReplyDelete
  5. jamani priscusy mi nakupenda kwani umeshaoa, yaani unanikosha roho.

    ReplyDelete
  6. kaka mithupu hotel leopard sawa, lakini wasiwasi wangu ni hako kafliji kako, tulivyokuona DC na sasa naona kanazidi kuovalep, hebu subiri nivae miwani, ndiooooo kanachomoza!!!!!!

    ReplyDelete
  7. Good services Leopard Hotel,big up Tarimo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...