Maharage ya nazi, mbaazi, pilau, ndizi nyama, na mengineyo mengi
Karibuni wana kili woote. Malazi yatapatikana kama ukijiandikisha mapema. Pamoja na Liive band (SUSUBILIBI) Kutoka west Afrika kutakuwa na nyimbo za kitanzania, kwa wale vijana wa zamani , Sikinde, DDC Mlimani Park, Vijana Jazz. Kwa wale vijana wa zamani wanaotokea jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Kutakuwa na Luambo Luanzo makidi akiwa na TP Ok Jazz, Tabu Ley, Mbilia Bel, Ochestra Veve.
Wapi:Landgasthof ab 18 Uhr
Schellenmühle
Bei Mimo
Schmerlenbacher Straße 50
63743 Aschaffenburg
Germany.
Lini:Tarehe 19:12:2009
Mambo yataanza saa 18:00 na kuendelea.

Kuhusu Malazi unaweza ukawasiliana na:
Mfundo Peter
Cell +491733779720
Festnetz +4960216253026 (hii napatikana sana mida ya usiku)
Aschaffenburg
Germany
Nawatakia Siku njema na karibuni Tena

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Ich will kommen aber ich hab kein geld.Was kan ich machen? Tchuss und schön abend noch.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...