Home
Unlabelled
lowassa apongeza wananchi jimboni kwake kwa kutopoteza kiti uchaguzi serikali za mitaa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Huyo mzee wa mbele picha ya kwanza na ya pili anafanana sana na Mzee Ruben Kuney. I wonder kama ni yeye.
ReplyDeletePhatlorenzo-MN
Pongezi kwako Edo. Vuta subira lakini achana na Rostam wingu lake linachafua nyota yako mheshimiwa. 2015 tuko pamoja. 2010 usituvurugie mheshimiwa. Lakini 2015 u have our support.
ReplyDeletePhatlorenzo!! Sawa huyo ndiye mzee Kuney DC mstaafu wa Magu. Hao ni baadhi ya mtandao wa Edo.
vulalaaaaaa!
ReplyDelete2010 hiyo, kila mtu na mti wake.
kwa mila za kinyamwezi hapo lazma kungekuwa na kitendo cha kufupa lwanga( kumtemea mate ya baraka yaliyochanganyika na unga)sasa kwa ndugu zetu wamasai nadhani itakua ugolo( u can imagimne) ndo maana Mh. Edo kam unamawazo kwa kile kitakachotua mikononi mwake pude( rojo la ugolo) teheteheteh
ReplyDeleteMila zidumu
Mzee wa bunju
Twazi penda mila zetu sn kuliko za wenzetu
ReplyDeleteTuzi tangaze milazetu duniani kote
NYOTA YA JAMAA NI KALI SANA WENYE NDOTO ZA KUTAKA KUMPOTEZA NI BORA WAKAFIKIRIA UPYA.
ReplyDeleteHE IS GOING TO COME BACK FOR SURE!!
Mmmmh!! kumekucha, mwenye macho haambiwi ona.
ReplyDeleteBORA KUKOSA MALI LAKINI UWE NA FIKIRA MZURI. KWANI UNAWEZA KUTUMIA FIKIRA MZURI KUPATA MALI
ReplyDeleteSASA KIBAYA ZAIDI UNAPOKUWA UNA FIKIRA MZURI UNAKUWA ZEZETA KABISA KWANI UNAKUWA HUNA UWEZO WA KUTAMBUA JEMA NA MBAYA.
SIKU ZOTE UNAKUWA MSHIBIKI TU NA BENDERA FUATA UPEPO KWANI HUWEZI KUFIKIRIA MBALI ZAIDI YA UPEO WA MACHO YAKO.
MAMBO YA USHABIKI WA SIMBA NA YANGA YA HATA YANGA IFUNGWE MABAO KUMI MARA KUMI NA SIMBA BADO NI SHABIKI WA YANGA DAMU DAMU YAMEPITWA NA WAKATI KATIKA DUNIA SASA.
HAWA WANANCHI WANAJUA DHAMANI YA HELA ZILIZOPOTEA KWENYE DILI YA RICHMOND. JE NI SHULE, ZAHANATI, MADAWATI NK MANGAPI YANGEPATIKANA KWA HIZO FEDHA KUSAIDIA HAWA WANANCHI KUINUA MAISHA YAO?
WATU WAFIKIRIE MAENDELEO ZAIDI.
Wa waaa Mr PRESIDENT TO be
ReplyDeleteEDO watanzania tunakukumbuka kwa uongozi makini na wenye misimamo. Ni wengi tunaokupenda Mr. president to be!
ReplyDeleteMdau Dange
ANON DEC 17, 02:30 NIMEKUSOMA.
ReplyDeleteHIVI MATATIZO YA NCHI HII YAMEKWAMISHWA NA RICHMOND PEKEE AU UMEBEBA BANGO LA HISIA TU.
USIMDHULUMU JAMAA.
NAAMINI NI MAENDELEO ALIYOWAPELEKEA WATU WAKE NDIYO YANAFANYA WAMKUBALI.
there is no chance lowassa akawa president,hawa wapambe kijijini wanaosema wako pamoja na mwizi huyu na wengine wakidai mwizi huyu ni future president wanamatatizo ya kufikiri..ni bora akawa hapo hapo alipo jimboni kwake ili aseme na watu wa jimboni kwake na hao sidhani kama wana mihela mingi anayoweza kuwaibia..tena ana bahati sana kaiibia serikali ya tanzania ingekuwa ulaya angekuwa na kesi nzito ya kujibu pamoja na kufilisiwa
ReplyDelete