Meneja Matukio na Promosheni wa Vodacom Tanzania Rukia Mtingwa(katika) akiwasiliana na mshindi wa Tuzo droo ya M pesa ya mwezi,kati ya wateja 20 wamejinyakulia shilingi laki tano kila mmoja,kulia Meneja Mawasiliano wa Vodacom Nector Foya na kushoto ni msimamizi wa bodi ya kubahatisha Tanzania Mrisho Millau
Meneja Matukio na Promosheni wa Vodacom Tanzania Rukia Mtingwa(katika) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari wakati akichezesha Tuzo droo ya M pesa ya mwezi,ambapo wateja 20 wamejinyakulia shilingi laki tano (500,000)kila mmoja,kulia Meneja Mawasiliano wa Vodacom Nector Foya na kushoto ni msimamizi wa bodi ya kubahatisha Tanzania Mrisho Millau.






Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Peter NalitolelaDecember 18, 2009

    Huyu Rukia Tiger woods hajamuona? Naona anavutia au ni macho yangu tu?

    ReplyDelete
  2. Hata angemuona, Tiger ana deal na wakizungu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...