Home
Unlabelled
maadhimisho ya miaka 48 ya uhuru jijini dar leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hongereni kwa sherehe. Hakika mmependeza. Lakini Tanganyika si ilinanihii? Au?!
ReplyDeleteNaona leo hamna ma-snipers wanaokaaga juu ya paa.
ReplyDeleteUhuru kwa wote sawa, je matunda kwa wote kweli?
ReplyDeleteMiaka 48 ya uhuru watanganyika walio wengi wamefaidi nini?
miaka 48, jembe la mkono,watoto wanakaa chini darasani, umeme mgawo, maji safi ndoto, rushwa ufisadi, list ni ndefu. bora tungewaacha wakoloni watusadie kungoza angalau kwa miaka 10 yaani uhuru ingekuwa 1971.
ReplyDeleteMungu ibariki Tanganyika na Tanzania kwa ujumla
ReplyDeleteNchi yetu inapofikisha miaka 48, ni wakati mzuri wa kukaa chini na kutafakari safari yetu - tulikotoka, tulipo na tunakoelekea; pamoja na changamoto zinazotukabili kama Watanzania hasa wakati huu tunapopita katika utandawazi mkali.
ReplyDeletePengine ni wakati wa kutafakari maneno haya ya Rais Kennedy "Ask not what your country can do for you-ask what you can do for your country!".
duh likwaride hapo lilishika kasi na hiyo ngoma kutoka uganda yaelekea ilikuwa kali kweli hadi wanapaa lol sherehe zilifana hope jana kulikuwa hakuna mgao wa maji wala umeme
ReplyDeleteInamaana Nchi yetu haina vikundi vya ngoma kutumbuiza, mpaka tuagize kutoka uganda??
ReplyDeletehivi hao wanaosema madhambi ya Rais wetu JK angekuwa Nyerere Baba yetu wangesema au ndi sifa za kulazimisha tuu!jk ataendelea kuwa Rais wetu kwa kipindi chote kulingana na katiba na mwenye wivu ajinyonge,ila ukweli ni kwamba anajitahidi sana isipokuwa wachache wanamuangusha ila atafanikisha vizuri katika kipindi chake chote!!!
ReplyDeleteMungu mbariki Rais wetu JK!!!
DEC 09 6;20 am BIG UP.
ReplyDeleteNimejaribu kuangalia zile picha za sherehe miaka hiyo ya 61 na picha za jana sijaona mabadiliko yoyote.
ReplyDeletekila mtu anajifunza tokana na makosa nadhani Rais wetu ivi sasa ameshayaona mengi na atayafanyia kazi aliyofanya makubwa wenye lawama nadhani nyie mno upofu tuu hamuoni nyuma mlikotoka au mmeyasahau Rais kikwete ni wetu sote tumpe ushirikiano mzuri
ReplyDeleteMIAKA 48 BADO OMBA OMBA WA KUTUPWA HATA KUJITEGEMEA HATUWEZI NA RUSHWA KILA SIKU.NASEMA NI AFADHALI MKOLONI ANGEKUWEPO LABDA TUNGEENDELEA ZAIDI NA KUWA NA NIDHAMU BORA MAANA INAONEKANA BILA YA KUSUKUMWA SUKUMWA NA KUCHAPWA VIBOKO SISI WEUSI HATUZINDUKI.KILA KIONGOZI ANAJINUFAISHA MWENYEWE NA FAMILIA YAKE.LEO WANAOPATA UMEME NI 10% TU YA WATANZANIA WOTE(UNAOKATIKAKATIKA), BARABARA HAKUNA,KAZI ZA SHIDA NA ZA KUPEANA WENYEWE NA FAMILIA ZAO...MPAKA LINI? HALAFU VIONGOZI WANAPIGA TU KELELE MSIKATE MITI NCHI INAKUWA JANGWA....WATU WATAISHIJE? WAAFRIKA TUMELAANIWA!
ReplyDeleteInaumiza moyo sana kuona namna gani tunafanya mambo kwa MAZOEA. Nionapo hizi picha sioni hata cha maana cha kusheherekea, si kwamba natamani mkoloni angeendelea hapana, swala ni kwamba ni kwa sababu zipi tunaendelea kusheherekea uhuru?
ReplyDeleteHivi unapewa nafasi ya kutoa hotuba kwenye siku kama hii unazungumza nini?! Bado unamtaja mkoloni miaka 48 baadae? Tuna nini cha kuonesha kwa vizazi vijavyo?
mwanaume jicho...mwamunyange!!!
ReplyDelete