Home
Unlabelled
mapenzi ni kikohozi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hiyo suruali ni kitambaa cha mwavuli nini?
ReplyDeleteBwana hii picha ni uongo,haiwezekani,msichana mzuri kwa huyo sijui hilo li baba,wanawake tuangalie jamani sikatai sura haijalishi lakini mmmh hapa ni kiboko shostito
ReplyDeleteMimi siamini naona jamaa wamempanua kwa computer technic.
ReplyDeleteNawajua hawa. Mheshimiwa Dr Kandala na shemeji Mei hongereni sana kwa kumeremeta. Kwa kweli mmetoka mbaaaaaaaaaaali, mnasitahili pongezi. Shemeji, hongera kwa kuziba masikio. Mapenzi ni ya moyoni tu. Kila la heri katika maisha yenu mapya.
ReplyDeleteRafiki yenu,
Dr. Dre
Mwacheni sista achukue paper jamani, maisha magumu huku marekani bila karatasi.....
ReplyDeleteaah michuzi hii itakuwa ni photoshop,na kama ni kweli basi hicho kikohozi cha mapenzi kitakuwa ni kile cha maradhi ya kifua cha TB
ReplyDeleteMdau Istanbul
Ni wameitengenea sababu ipo ya huyu jamaa kama watatu nimeona sehemu msifanye utani jamani hujafa hujaumbika binadamu. MZ.
ReplyDeleteUwongo mtupu. Ili kuhakikisha ebu tumeni picha zingine za jamaa huyo. Binti mwenyewe anaonekana insecure hivi!
ReplyDeleteHapo ni mwendo wa self service, hongereni maharusi na karibuni katika chama cha wenye ndoa,
ReplyDeleteNaamini maamuzi yenu hayakuwa ya muda mfupi, hivyo wenye wivu wajinyongeeeeeeeeeeeeeee
Nimeipenda hii, hongereni sana maharusi. Nina imani kuwa watoto wenu watakuwa wazuri sana na wata- balance maumbo yao.
ReplyDeleteBeauty and The Beast
ReplyDeletemakaratasi hayoooooooooooooooo kwenda na kutoka USA bila sheshe.
ReplyDeleteis it me or is the guy abnormal? jamaa hayuko fiti kabisa mie ningemepeleka hospitali kwanza tukaangalie genes zetu just in case ana genetic problems (if you know what i mean)
ReplyDeleteMkivunjana mbavu msituletee tuwatibu. Magonjwa ya kujitakia hayo.
ReplyDeleteHapo hapendwi mtu ni POCHI tu
ReplyDeleteWadau acheni utani,Bwana harusi anaitwa Mr Rutachokozibwa,muhaya wa kutoka Kamachumu,anaishi Houston.Bi harusi ni mgeni hapa TX,ametokea Amsterdam.Alichokiunganisha Mungu,mwanadamu asikitenganishe.
ReplyDeleteUzuri wa mwanaAdamu ni MOYO wake, UTU wake, UADILIFU wake, huruma, hisani, ukweli, uaminifu,(upendo, upendo, upendo...) na amali (matendo) yake mema. Kama wanavyosema Waingereza "(external) beauty is only skin deep". Na nyinyi wote "mnaowajudge" wenzenu, jiulizeni MMEKAMILIKA? Dharau na kiburi chenu vinawafanya mjione WAZURI??? Mbona mnaaniku chupi zenu chafu hadharani??? Mwogopeni Mwenyezi Mungu, Muumba aliyekamilika. HAMJAFA HAMJAUMBIKA Msiwe "judgemental"... Let he who is without a sin cast the first stone.
ReplyDeleteMITHUPU HIVI NI KWELI,ANYWAY PENZI NI PENZI TU,MALOVE YAKINOGA HATA AWE NA CHOGO KAMA NCHA YA MKUKI ATEPENDWA TU,ACHA MALAVIDAVI YAO YAENDELEE MILELE.........CIAO
ReplyDeleteWivu tu mwacheni jamaa amewini to be honest jamaa kapata mke, tena wa ukweli!!
ReplyDeleteSorry, huyu jamaa siyo yule anayeigiza kihaya kwenye kundi la original comedy??
nitampongeza zaidi huyu dada nitakaposikia kashika mimba nina wasiwasi atachoma sindano,
ReplyDeleteHakuna hata mtaalamu wa photoshop hapa atuambie kama Uwongo au ni kweli! It is very interesting, na kama ni kweli mapenzi ni so complex beyond human comprehension
ReplyDeletemmmh kasheshe hayo wala sio mapenzi kuna kitu huyo dada amefuata sio bure
ReplyDeletekabla hamjaamua kupata watoto nawashauri mkafanye genetical consultation and analysisi kama itabidi. naomba nieleweke simhukumu wala si mcheki mtu hapa.natoa maoni yangu yanayo weza kusaidia kutokana na ninacho fahamu.upendo udumu,mungu awasaidie ktk maisha na ndoa yenu.
ReplyDeleteDr.
Tunashukuru kwa matumizi ya Adobe Photoshop Element. Ziko Tools zingine hukuzitumia na kichwa kingeonekana kumachi mwili katika uhalisia wa rangi zake.
ReplyDeleteWenye visa watu-hongereni maharusi
ReplyDeleteAnkal bado huko buja ,bwawa la maini mhm aibu tupu 2-0?
Dr REmmy Ongala wakati fulani aliimba 'MWANAUME MASHIIINE'
ReplyDeleteTumuogope Mungu, kumcheka binadamu mwenzio eti kwa vile wewe unajiona ni bora kumzidi na yeye amezaliwa mbaya ni dhambi mbaya na ni kujitengenezea laana, unaweza shangaa ukajazaa mtoto wa ajabu!bora hata huyo baba ana viungo vyake vyote kamilifu, kwani ana kasoro gani? Na tatizo la sisi waafrika wengi ni kupenda mtu kwa muonekano wa nje,hata kwenye kuoa/kuolewa mtu utakuta anaoa binti mrembo,lakini hampendi kwa dhati, ni ule uzuri wake tu ndiyo umemvutia;siku akajapata kasoro ya maumbile tu,na penzi ndiyo "bye,bye" kesho utasikia mara anatembea na rafiki yake, au mtu anayemhusu na hamjali tena yule binti.Si sawa; tuangalie wenzetu weupe jinsi wanavyojua kupenda/kupendana, na inajionyesha hata jinsi wanavyo "bond" hata na wanyama;utashangaa, mbwa anaweza kupendwa k.m binadamu;ni hulka yao; wanathamini utu wa kile kiumbe zaidi.Tubadilike, any further negative comments ni kulidhalilisha taifa
ReplyDeleteJAMANI WAACHENI WAANZE MAISHA. MAPENZI HAYAANGALII SURA NI HISIA 2 KATI YA WATU WA WILI..
ReplyDelete