Home
Unlabelled
tanzania portland cement na WAMA wasaidia yatima
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
michuzi mimi ni mtanzania nifanyeje ili niweze kumpata mama salima nikatoe naye zawadi kwa watoto wa mitaani??? please nisaidie....
ReplyDeleteMbona jibu lake ni rahisi huna hata haja ya kumuuliza Michuzi. Nenda ofisi za WAMA kawaeleze madhumuni yako, utakutana na msaidizi wake atakupa maelezo ya nini cha kufanya. Na sidhani kama Michuzi ana majibu ya maswali yako unless kama utakuwa umeuliza kwa nia ya kukebehi, lakini kama unataka kweli nenda WAMA, toa burungutu lako kama ni 10m au hata 5M, manake sio tu unataka ujiko uonekana unatoa msaada kwa watoto wa mitaani ukiwa umesindikizwa na First lady msaada wenyewe wa elfu 50.
ReplyDeleteasante kwa majibu yako my dear, sio utani i real want to do for those kids they need us, hawa watoto wanamaisha ya ajabu sana hapa dunia,
ReplyDeleteasante tena kwa ushauri wako na nitaufanyia kazi
Nawapongeza WAMA na Portland Cement kwa kuwakumbuka yatima wengine tufuate nyayo hizo.
ReplyDeleteWAZO: WADAU NA SERIKALI IPANGE MIKAKATI ENDELEVU YA KULEA WATOTO YATIMA NA SIO KUWAPA CHAKULA CHA CHRISTMAS NA SIKUKUU NYINGINE TU. KABLA NA BAADA YA CHRISTMAS WALE NINI, WAVAE NINI, WAPATE WAPI MAHITAJI YA ELIMU N.K. TUWAZE KWA HERUFI KUBWA NA SIO KUFANYA MAIGIZO YA KUTOA VICHACHE HIVI ILI TUONWE KWENYE VYOMBO VYA HABARI TU.