Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Said Mwambungu ( wapili kulia) akimwonyesha Waziri wa Tamisemi, Celina Kombani ( watatu kulia) eneo la ujenzi wa vyumba vingine vya madarasa ya Sekondari ya Nane Nane, katika Manispaa ya Morogoro. Kulia ni mkuu wa mkoa wa Morogoro Mh. Machibya
Baadhi ya maofisa wa Jeshi la Magereza kutoka mikoa mbalimbali nchini wakipitia vifungu kwenye kitabu cha mwongozo wa utekelezaji wa mpango wa kilimo kwanza wakati wa mafunzo ya wiki moja yalioyanza juzi mjini Morogoro leo. Picha na John Nditi.




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. kilimo kwanza!kwa mpango huu serikali itafanikiwa kabisa kama watawatumia jeshi la magereza kufanya uzalishaji hasa kwenye miradi mikubwa ya kilimo na kuwatumia kikamilifu wafungwa wanaokaa tu na kuwa wachunga wa bata,njiwa,kuku,wa askari magereza au kufagia nyumba za askari hawa badala yake waende kuzalisha mashambani kwani tutapata faida ya uzalishaji na wafungwa wengi watakuwa wamejifunza stadi za maisha na magonjwa ya zinaa yatatokomea maana watakuwa wamerudi shambani wakiwa wamechoka na wakirudi uraiani wataweza kujitegemea kama ilivyokuwa enzi za mwalimu sio km sasa baadhi ya vijana wanapenda kwenda jela kwavile anasema kula na kulala ni bure tu

    ReplyDelete
  2. Mkuu ,msaema ukwqeli ni kipenzi cha mwqenyezi mungu na ukeli siku zote unauma ,hebu wsane hao wqsanajesahi wqsa chuo cha mafunzo hali zao na kama si hizo sasare zao basai moja ungelidhani hao ni wathirika

    ReplyDelete
  3. Siyo ...mji-kasoro-bahari.....HAPANA!!! ni MJI KASORO BAHARI YAKE HAINA CHUMVI (Mindu Dam).......Ebo!

    ReplyDelete
  4. Si tungetimiza kwanza ile ahadi ya "MAISHA BORA KWA WOTE" kabla ya kujiingiza uku kwenye "KILIMO KWANZA"?

    ReplyDelete
  5. john nditi, hongera kwa kuitangaza morogoro.

    ReplyDelete
  6. Picha ya pili jamaa wa tatu kutoka kushoto waliokaa mbele amekata network, anawakilisha mkoa gani? imekula kwao - pole.

    ReplyDelete
  7. Mie nampongeza na kumuunga mkono ANON hapo juu wa Tue Dec 15, 03:27:00 - hawa jamaa kweli hata ka-jinuru kidogo usoni hawana!! yaani hii inadhihirisaha wazi kuwa mazingira yao yakufanyia kazi ni duni sana na hata fani yao ni ya hali ya chini, bora hata polisi, ffu na JW kidogo huwa wana ng'ara washukuru tu hizo uniform za bure.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...