INTERNATIONAL FLIGHT
ATTENDENT/CABIN CREW JOB.

MT GlobalExperts is an international online Recruitment Agency in collaboration of emott solutions ltd of Tanzania are specializing in supporting airlines and organizing Cabin Crew Recruiting Days world-wide.

We work with a wide variety of airlines and aim to offer Cabin Crew a simple method of finding good employment in the aviation industry.

Our Cabin Crew Recruiting Days also offer Cabin Crew the opportunity to meet airline personnel and ask as many questions as they want.

If your initial application is accepted, our local agent will invite you for a Pre-selection days in our chosen venue. Please note that if you are not from the country where we organize pre-selection we will not provide any visa assistance for you to enter the country!
Recruiting Campaign in Tanzania will be:
23 december.2009 - Pre-selection Day (hotel blue pearl ubungo)
27 december. 2009 - Screening day
28-29 december.2009 - Individual Interviews


Please contact below address for more details;-

Emott solutions ltd
P.o.box 504
Dar es Salaam,
Tanzania

Mob; 0754663399/ 0713687539/0713154900
Email; info.emott@gmail.com

Deadline for submission;- 21st December 2009.
MT GlobalExperts also organize together with local partner emott solutions ltd in-house selection days so that we can highlight the most outstanding candidates and pass on your details to our various airline clients.
We have numerous candidates and thus each is expected to arrange and pay their own expenses. We will not be able to provide any compensation for these expenses.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. Hii kampuni ya Emott Solution mbona haijaweka physical address yake ya hapa Dar? Mbona namba zote ni za kiganjani? We have to be extra careful.
    Nihayo tu.

    ReplyDelete
  2. This is yet another scam. Call me a liar, sceptic, coward or anything but my first instict (which has always proved to be right) is to stay away from such deals - such sharks.

    Please be warned and go in at your own peril...

    ReplyDelete
  3. Mmmh! Hii kitu imenikalia kama kanyaboya vile.Haya yangu masikio kama watu hawajalizwa sijui.

    Mdau USA.

    ReplyDelete
  4. mmmmmhhh nina wasiwasi na hii deal,kwanza kwanini hawana hata simu za office wala fax na hata website hawana....well may be i,m wrong lakini nina wasiwasi na hii kitu

    ReplyDelete
  5. hii agencj mbona maelezo yake kama ya kitapeli tapeli? haya angalieni kina dada!msije kudaiwa pesa za kufanyiwa screen!

    ReplyDelete
  6. halafu hata hicho kiingereza kinaonekana cha mtu asiyesoma: 'in collaboration of'? yaani hapa alitaka kusema 'kwa ushirikiano wa...' badala ya in collaboration with! inabidi kweli wabongo tuwe makini.

    ReplyDelete
  7. Brother KakaDecember 08, 2009

    Mwaka 2001 au 2002 kuna jamaa walikuja kwa staili hii hii ila wao walisema wanatafutia Wabongo nafasi za kusoma vyuo vikuu Uingereza na Marekani.

    Wakawaita Starlight Hotel kama sijakosea, then wakawapiga presentation ya nguvu na kuwachangisha pesa eti nauli ya ndege na gharama za VISA.

    Kisha wakawaswaga kwenye basi kuelekea Nairobi ambako walidai ndio nafuu kupanda ndege na kupata VISA.

    Basi lilipofika Nairobi jamaa wakaingizwa kwenye kahoteli walale ili kujiandaa na pilika pilika za ubalozini na tiketi za ndege kesho yake.

    Kuamka astakafilulah viongozi wa msafara wote wametoweka.

    Jamaa wakajikuta solemba Nairobi, ikabidi kwa upole tu wakamate mabasi ya kurudi Bongo fasta.

    Hivyo kina dada jihadharini. Ukiondoa utapeli, kuna mdudu ngono pia ... maana mademu wanaofaa kwa uhostess wa ndege wanakuwaga bomba sana.

    ReplyDelete
  8. Eemmhh halooo Mr Lundenga? Are you there? Ok, umeona kule kwa Mkuu wa wilaya ya nanihii wanatafuta maea hostesi? Sasa hao vijana wako si wanakolifai? Hebu tuanzishe agensi ya kuwauza kwenye makampuni kama hayo..

    ReplyDelete
  9. Kimbieni kwa kasi hii kitu straight up ni utapeli tuu,kwanza sijui hata kama kuna kampuni ya jina kama hilo imesajiliwa naona kama wazushi tuu,hawa wanataka tuu kuwa charge fees za screening ndio kula yao,hawana physical adress wala simu za ofisi zaidi ya cellphone tuu na angalieni hata kiingreza walichotumia ni kibovu sana inaonekana hawa sio smart ndio maana nimewashtukia,tafadhari msipoteze muda wenu na matapeli kama hawa na wewe michuzi kabla ya kubandika matangazo ya watu lazima uangalie uhalali wao la sivyo jamii itakulaumu wewe,msipoteze muda na hawa watu tafadhari

    ReplyDelete
  10. Ukijaribu tu IMEKULA KWAKO c mchezo wanaija wameingia hadi kwa globu ya mithupu.....ndo hio.

    ReplyDelete
  11. KWA YOYOTE ATAKAENDA KUJARIBU KUOMBA KAZI UKIAMBIWA KUNA KULIPIA CHOCHOTE UJUE NI MATAPELI, MUWE WAANGALIFU NA WATU KAMA HAWA MAKAMPUNI MENGI YA NDEGE YANAPUNGUZA WAFANYAKAZI ILI KUKABILIANA NA UCHUMI MGUMU UNAOENDELEA. KUOMBA KAZI NI BURE SEHEMU YOYOTE UKIAMBIWA KULIPA HELA ONDOKA HARAKA, MKAWARIPOTI POLISI

    ReplyDelete
  12. KAMA DADA ZETU MNATAKA KUJARIBU BASI MSIKUBALI KUTOZWA PESA ZOZOTE KWA KUWA NI TARATIBU KUWA HIZO AIRLINE COMPANIES ZITAKAZO-WAAJIRI HUWA NI JUU YAO KUWALIPA HAO JOB AGENTS. USIKUBALI KWENDA KOKOTE NA UKIPEWA DOCUMENT YOYOTE MFANO INA NEMBO/LETTER HEAD YA KLM ETI KUWA UMEPATA JOB OFFER ICHUKUE IPELEKE OFISI ZA KLM KUDHIBITISHA MAANA INAWEZA KUWA FEKI. MATAPELI WANA MBINU NYINGI SANA HATA KAMA WEWE UNAFIKIRI NI MJANJA WAO UJANJA NI PROFESSIONAL YAO. PIA KINA DADA ROHO ZENU NI ZA KUDANGANYWA KIRAHISI, EPUKENI SHARI - ADVERT KAMA HII PIA INAWEZA IKAWA NI NJIA YA KUTAFUTA MALAYA WA KUPELEKWA ULAYA KWA KAZI HIZO. MSIKUBALI ETI TOENI NAULI NA MALAZI YA KWENDA NAIROBI KWA INTERVIEW - MTABAKWA

    ReplyDelete
  13. Ladies & Gentleman, please ask yourselves this; WHEN YOU APPLY FOR A JOB, DO YOU PAY AN APPLICATION FEE? The answer is NO! They pay you if they hire you!

    ReplyDelete
  14. hii business ipo huku UK ulaya ya mashariki wanawaleta wadada toka kwao wanawadanganya kufanya kazi Uk kumbe wanaishia kufanya biashara ya ngono bila kulipa, msijaribu hata kidgog

    ReplyDelete
  15. Huu mradi wa Peter Nalitolela wa Muzumbe.

    (US Blogger)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...