Bro NAKUPONGEZA SANA KWA KAZI YAKO YA KUTUJUZA YALIYOJIRI.
NAOMBA UNISAIDIE KWA KURUSHA HII KWENYE BLOG YAKO, NAMTAFUTA KAKA YANGU AITWAYE RAYMOND FRED MTOI TULIACHANA NAYE MWAKA 2000 ALIPOONDOKA KWENDA UK KWA MASOMO.
NAOMBA UNISAIDIE KWA KURUSHA HII KWENYE BLOG YAKO, NAMTAFUTA KAKA YANGU AITWAYE RAYMOND FRED MTOI TULIACHANA NAYE MWAKA 2000 ALIPOONDOKA KWENDA UK KWA MASOMO.
TULIWASILIANA KWA KIPINDI KIFUPI TU MARA BAADA YA KUFIKA HUKO UK THEN MAWASILIANO YAKAKATIKA MPAKA SASA SINA MAWASILIANO NAY. TAFADHALI KAMA KUNA MTU ANAYEMFAHAMU NA ANA CONTACT ZAKE AU KAMA MWENYEWE ATABAHATIKA KUSOMA BLOG HII NAOMBA AWASILIANE NAMI KWA e-mail hii nelangwa@yahoo.com
NI MIMI NAPENDAEL E.J.
MDAU EA DAR
NI MIMI NAPENDAEL E.J.
MDAU EA DAR
huyo aliamua tuu kukuchunia kwa makusudi wengi wao ndo zao wanaamua kukuchunia laivu
ReplyDeleteFredy Mtoi kwasasa anatangaza BBC idhaa ya kiswahili, jaribu kuwasiliana na BBC Swahili watakupa contact zake, au wasiliana naye kupitia familia yake iliyoko TABATA Dar es Salaam
ReplyDeleteNi hayo tu natumaini utampata tu kwani ni mtu maarufu.
Kwa sasa yupo Idhaa ya Kiswahili ya BBC, UK.
ReplyDeleteWewe unamtafuta Raymond Fredy Mtoi au unamaanisha Fredy Mtoi aliyeko BBC lONDON?
ReplyDeleteKama ni Fredy Mtoi basi wasiliana na Idhaa ya Kiswahili pale London.
Kwamimi ninavyomjua ni jamaa poa sana hana makuu very humble guy and simple guy, hawezi kumchunia mtu.
Ni kati ya vijana wakarimu sana ninaowajua.