Hey Mr.Michu,
hongera sana kwa kutupa habari motomoto kutoka nyumbani.Imetufanya sisi tulioko nje ya nchi tujue kinachoendelea hata huko kwa mfuga mbwa.
Mimi naitwa Joseph Mwerere niko hapa Norfolk Va,natafuta mtanzania yeyote anayeishi hapa Norfolk au VA Beach areas tuwasiliane kwa
757-597-5416
email: jmwerere@yahoo.com.
Uncle kama utanipostia hii habari ktk blog ya jamii nitashukuru sana.
Heri ya mwaka mpya Bro.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. sasa wewe muheshimiwa mbona namba haina code?

    ReplyDelete
  2. uko nchi gani? weka full namba na country code

    ReplyDelete
  3. wajameni kashasema yuko norfolk Virginia...kwa nyie mnaotumia globu ya jamii sina shaka mnajua kitu hiki(google0...au kama uko USA utapata tu are code...mbona mna lalamika kwa kila kitu?

    ReplyDelete
  4. Candid ScopeDecember 28, 2009

    Pole kwa kutoeleza nchi ulipo ila kwangu inaonyesha uko Virginia State nchini marekani. Ukitaka wabongo kujuana nenda part utakutana nao. Ukitaka wale wa kufikiria na kufikirika jaribu kuvuta muda utawapata na utafurahia. Mungu akujalie fanaka katika malengo uliyoendea hapo ulipo

    ReplyDelete
  5. If you read carefully the post, the writer is looking for any Tanzanian who live in Virginia. Anybody who live in US will understand that number because it includes Virginia area code.

    ReplyDelete
  6. hiyo nofolk hata hapa england ipo,na si kila mtu anafahamu kuwa initial virginia ni VA..msiwe kiburi mtu akitaka kufahamu kitu..ni ktk kujaribu kujua kama ntaweza kumsaidia mshikaji

    ReplyDelete
  7. no no niko norfolk east anglia uk

    ReplyDelete
  8. jamaa hajakosea na kwa watu anaowatafuta wa eneo hilo wanajua vizuri mtu kama hauko eneo hilo acha kuanza kupiga kelele sijui country code nini.siolazima ku-comment kwenye kila post kama unaona post haikuhusu nenda kwenye post nyingine ziko nyingi sana.

    walengwa wahio post wanajua wenyewe kilakitu hapo kilichoandikwa kiko sawa.

    ReplyDelete
  9. hakuna mtu aliyesema jamaa kakosea watu wanataka kujua wapi alipo..kama wewe uko marekani unajua wapi alipo wengine hawajui..

    ReplyDelete
  10. Sasa nyie vimbelembele. Mtu kashawambia yupo Norfolk, Va na number zote keshaweka. Kama wewe hukuelewa hiyo number basi huu ujumbe haukuhusu. na huyo anayejifanya sijui kuna Norfolk England basi asingeweka VA...acheni uzabinazabina..Happy new year... Ihope we will start the new year with good mind...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...