

Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
-Hivi,hawa wadogo zetu hawawezi pewa gear maalum siku ya mashindano kama hayo?
ReplyDelete-Mtoto wa kike atakimbia vipi comfortably akiwa amevaa sketi ya shule?
-Maoni yangu hayo...
DU!!! wote wanapaa angani, ama wana kipaaji, maonezi haya msichana kwa mvulana.
ReplyDeletesasa wanakimbia peku na soksi mtaumia kuna chupa zimevunjika zinatupwa ovyo misumari miba kokoto kwa mtindo huu ushindi hakuna hata kama ni mazoezi vaeni viatu ka usalama wa ngwato zenu
ReplyDeleteMh! Wengine peku, wengine soks, wengine wana viatu. Bongo tambalale!
ReplyDeleteHuyo dogo aliye mbele mwenye shati jekundu anajua kukimbia. Angalia form yake. Huyo mwenye sare anaweza kufaa kwenye mbio ndefu kama za marathon. Ni wazo zuri, ila tufanyefanye walau wakimbie wamevaa bukta na viatu.
ReplyDelete