Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo, George Mkuchika (kulia), akimkabidhi bendera ya taifa nahodha wa timu ya taifa ya netiboli (Taifa Queens), Jackline Sikozi, ambayo inatarajiwa kwenda kushiriki michuano ya kimataifa itakayozishirikisha nchi sita toka Desemba 6 hadi 12 mwaka huu huko Singapore. Picha na Francis Dande wa Globu ya Jamii.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. hongerani ...netiboli inapanda juu siku hadi siku iko siku mtafika

    ReplyDelete
  2. kweli netball imenza kurudisha hadhi yake. JK angalia na mchezo huu ili serikali itoe mchango wake

    ReplyDelete
  3. KAZENI BUTI MTAFIKA, KAZI NZURI INAONEKANA. TIMU IRUDI BASI NA USHINDI TUTAWAPONGEZA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...