Tired of bringing in the new year in the same way every year?
Make this year a year to remember!

The Tanzania Associan of Canton
presents,
a New Year bash at Lollies Banquet hall of Belden Village.
$5.00 cover charge at the door. Food, drinks, and fun!
Music by DJ Kvelli of Columbus. Rap, Hip-Hop, and much more!
Call 330-418-6401 or 330-575-7148 for V.I.P and info.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. wabeba box kweli mmedata

    kila picha ya tangazo lazima awepo mwanamke nusu uchi,vyupi,sidiria nk

    aya

    ReplyDelete
  2. suali: je hiyo picha ya mwanamke nusu uchi inaashiria nini? ina ujumbe gani hapa? vipi ndio mnavyotegemea akina dada wafike namna hiyo? au kutakuwepo na show za ma-strper au vipi? kuuliza si ujinga wahenga walishasema!!

    ReplyDelete
  3. Party hii ya umoja dhamira yake ni kuwafikiwa walengwa wengi na si kuonyesha mastripper bali ni kufikia malengo.Ni mojawapo ya fund raising za umoja huu katika kutunisha mfuko na walengwa si watanzania pekee walengwa ni waendaji wa party.Umoja una malengo mengi kama kuset day care ya umoja,shule za awali za umoja na hata kuwa na uwezo wa kuown appartments ili kuepuka michango ya mara kwa mara ndani ya umoja.Njoo na karibu utuunge mkono.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...