Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi , Profesa Jumanne Maghembe ( kushoto) akiwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais , Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Hawa Ghasia ( kati kati) pamoja na Naibu Makamu wa Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe wa Utawala na Fedha Profesa Faustine Kamuzora ( kulia) juzi , wakati wa mahafali ya nane ya Chuo Kikuu hicho
Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe , Jaji Mkuu Mstaafu , Barnabas Samatta ( kati kati) akiwa na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi , Profesa Jumanne Maghembe ( kulia) pamoja na Mwenyekiti wa Baraza la Chuo hicho, Profesa Daniel Mkude ( kushoto) juzi wakitoka kwenye viwanja vya mahafali ya nane ya Chuo hicho yaliyofanyika juzi.

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo , Joel Bendera ( kulia) akiwa kijana wake, Gloria Bendera ambaye amehitimu shahada ya uhasibu na fedha ya Chuo Kikuu Mzumbe, juzi kushoto ni Makamu wa Mkuu wa Chuo hicho, Profesa Joseph Kuzilwa

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo , Joel Bendera ( kulia) akiwa kijana wake, Gloria Bendera ambaye amehitimu shahada ya uhasibu na fedha ya Chuo Kikuu Mzumbe, juzi kushoto ni Makamu wa Mkuu wa Chuo hicho, Profesa Joseph Kuzilwa



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Hongera sana wana Mzumbe hasa walimu kama Dr. Sesabo, J, PH.D na wenzake wemye moyo na hali ya kutoa Elimu kwa Vijana na wote wenye kupenda kupanua upeo wa Elimu yao

    ReplyDelete
  2. Je, Mwalimu Komba,i kwa Coretta , Bado hupo Mzumbe, kweli nawe ulipiga kipindi kwa bidii sana, sisi hapa Norway tuliopitia Mzumbe tunakukumbuka, na bila sha nawe sasa utakuwa tayari umekula nondo za Ph. D toka Japan au Ujerumani! Karibu Norway na USA. Ubarikiwe sana Colly au Mama Komba

    ReplyDelete
  3. Dr Nalitolela wa muzumbe upoo?

    ReplyDelete
  4. Astrid Bayona naye alikuwepo...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...