Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Profesa Mark Mwandosya ( wa kwanza kushoto) juzi akisikiliza maelezo mafupi kuhusu ramani ya ujenzi wa bwawa la Kidunda, Tarafa ya Ngerengere , Wilaya ya Morogoro litakalohudumia maji kwa wakazi wa Pwani na Dar es Salaam , kutoka kwa Mkurugenzi wa Ufundi wa DAWASA, Boniphace Kasiga ( wapili toka kushoto)
Ofisa Mtendaji wa Serikali ya Kijiji cha Ngerengere, Wilaya ya Morogoro, Rukia Kihimba ( kushoto) akipokea hati ya makabidhiano ya mradi wa maji yaliyosainiwa na mpande mbili ya Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro na Serikali ya kijiji kutoka kwa mgeni rasmi Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Profesa Mark Mwandosya , juzi ,wakati wa hafla ya makanidhiano hayo

Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Njia Nne , kutoka kikundi cha ngoma za asili cha Afande Sele katika Kijiji cha Ngerengere, Wilaya ya Morogoro wakicheza ngoma ya Sindimba ya kabila la Wamakonde wenye asili ya Mkoa wa Mtwara , wakati wa hafla ya makabidhiano ya mradi wa maji kwa wananchi wa Ngerengere.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Maneno yako hayafanani na picha zako

    ReplyDelete
  2. HIYO ILIKUWA SHEREHE YA KUWEKA MSINGI JENGO LA CHAMA CHA MAPINDUZI.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...