Mdau Alfred Aloce anasema kuwa leo maeneo ya pale Mbezi Mwisho (Luis) jijini Dara palikuwa na foleni kubwa sana kwani kulikuwa na magari makubwa mawili, yenye mizigo mikubwa sana ambayo yaliziba njia. wadau wengi wa mitaa hiyo leo walichelewa kazini....



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. hii barabara ya kimara mpaka mbez kwa sasa hiv imekua finyu sana haitoshi inabid serikali iweke mikakati ya kujenga barabara nyingine manake imeanza kuwa na folen vibaya mnno na mabumps kibao hayo ndio yanaongeza foleni.Ikitokea ajali ndogo tu barabarani ujue ndio mtachelewa kazin kabisaa.
    Nimesikia serikali inampango wa kujenga mji kibamba na soko la kariakoo linaamishiwa huko sasa sijui kama itakua hivyo na barabara ni hiyohiyo sijui itakuaje.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...