Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano Muhammed Seif Khatib akifunguwa Semina Elekezi ya masuala ya Muungano inayofanyika Kwenye Hotel ya Millenium Mjini Bagamoyo
Baadhi ya washiriki wa Semina Elekezi ya Masuala ya Muungano wakimsikiliza waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais {Pichani hayupo} wakati alipofunguwa Semina hiyo Mjini Bagamoyo Leo. Picha na ali Meja


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Huyojamaa aliyevaa sweta hivi ni baridi sasa hivi Dar au ndiyo fashion?

    ReplyDelete
  2. Asante mkuu kwa kutupasha hizi habari ,lakini cha kushangaza washiriki wake ni kutoka upande mmoja na huyo waziri hatibu ndio kaelemea upande huo, sasa masuwala hayo yatajadiliwa vipi ?huko si ndio kule wazee watu walikuwa wakisema kupakana mafuta kwa nyuma ya chupa ?

    Taabuuk.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...