Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Dk. Batilda Salha Burian akizungumzia masuala mbalimbali ya Mazingira na Bw. Alberic Kacou, Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa , alipomtembelea ofisini kwake Mtaa wa Luthuli jijini Dar leo. Picha na Lulu Mussa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Huyu ni Waziri Mchapa Kazi.

    Sio kama wengine kila asubuhi na mchana ni makelele tu yasiyo na tija mpaka tunajiuliza saa ngapi waziri/mbunge huyu anafanya kazi kuhalalisha malipo na wadhifa wake.

    (US Blogger)

    ReplyDelete
  2. mimi ananifurahisha kwa mavazi yake ya adabu.pia amekwenda shule ya uhakika sana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...