Home
Unlabelled
selemani na jasmin wameremeta
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mpendeza ..hongera pongo..ex udsm cs 03
ReplyDeleteCongratulations Sele...ex Ilboru 1997-1999
ReplyDeleteSimfahamu Selemani wala bibi harusi nataka kusema kwa kweli wamependeza saana. Naitakia heri ndoa yao idumu milele na wapate watoto wengi na mali nyingi.
ReplyDeleteUtani wote kando.
ReplyDeleteMaharusi na wapambe mmependeza sana. Mungu aibariki ndoa yenu!
Selemani hongera.
ReplyDeleteNaona na baby yuko njiani.
Ex PWC
Ehh jamani watu mna macho mhh hayo ya baby tena mmenifanya nirudi kuangalia upya
ReplyDeletemkuu nmekubali mmependeza sana nawatakia kila la kheri na maisha mema!
ReplyDelete...hongera mzee Pongo,mzee TOYOYO,ex MIREMBE ORIGINAL,you look fine bro,maisha mema na marefu...
ReplyDeleteEX MIREMBE MWENZIO...
Hongera sana Sele....
ReplyDeleteKudos for you guys, Suma P and Jasmin.What a wonderful wedding.. I wish my attendance would be there ...New Year New Beginning....
ReplyDeletejaneth mnatisha,naona kaka hapo tabasamu kuuubwaaa na kamwanya!
ReplyDeleteIJMC-UDSM
Mkuu wa kitengo hongera sana mzee. tunakutakia maisha mema wananchi wote wa rock city. wewe na mkeo mmependeza sana man. nakutakia mwaka mpya mzuri na maisha mema.
ReplyDeleteKAMJO - ROCK CITY
Masela vipi?
ReplyDeleteUmeninyima harusi, mbona fasta fasta? Kila la heri karibu sana kwenye kundi, sasa umekua. Mdau Ex PiWiCi
mhh watu mnadarubuni hadi kupitia pich ammeona ka baby,du watu nuksi
ReplyDeleteHizi tamaduni za kuiga nazo, eti mwanamke kumeremeta mpaka aache kifua chake wazi namna hiyo ndiyo kapendeza, mbona wanaume hawawi "uchi"!!
ReplyDelete...acha roho ya paka na ya korosho we anony wa mwisho kwani walikuja nyumbani kwako?watu wamejifungia harusi yao kivyao,sa we inakuuma nini jinsi walivyovaa...!nyie ndo mnaokuaga wanafiki,acha kuharibu siku ya furaha ya wenzio.kama hujapendezwa na picha basi pita pembeni.....!!!!?
ReplyDelete