mdau selemani pongolani na mai waifu wake jasmin wakimeremeta
maharusi na wapambe wao
selemani na jasmin wakikaribishwa kwa vitambaa
vyeupe ukumbi wa mlimani city kwenye mnuso wao



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. Mpendeza ..hongera pongo..ex udsm cs 03

    ReplyDelete
  2. Congratulations Sele...ex Ilboru 1997-1999

    ReplyDelete
  3. Mdau MlokoleDecember 27, 2009

    Simfahamu Selemani wala bibi harusi nataka kusema kwa kweli wamependeza saana. Naitakia heri ndoa yao idumu milele na wapate watoto wengi na mali nyingi.

    ReplyDelete
  4. Utani wote kando.
    Maharusi na wapambe mmependeza sana. Mungu aibariki ndoa yenu!

    ReplyDelete
  5. Selemani hongera.
    Naona na baby yuko njiani.
    Ex PWC

    ReplyDelete
  6. Ehh jamani watu mna macho mhh hayo ya baby tena mmenifanya nirudi kuangalia upya

    ReplyDelete
  7. mkuu nmekubali mmependeza sana nawatakia kila la kheri na maisha mema!

    ReplyDelete
  8. ...hongera mzee Pongo,mzee TOYOYO,ex MIREMBE ORIGINAL,you look fine bro,maisha mema na marefu...
    EX MIREMBE MWENZIO...

    ReplyDelete
  9. Hongera sana Sele....

    ReplyDelete
  10. Kudos for you guys, Suma P and Jasmin.What a wonderful wedding.. I wish my attendance would be there ...New Year New Beginning....

    ReplyDelete
  11. janeth mnatisha,naona kaka hapo tabasamu kuuubwaaa na kamwanya!
    IJMC-UDSM

    ReplyDelete
  12. Mwindadi HassanDecember 28, 2009

    Mkuu wa kitengo hongera sana mzee. tunakutakia maisha mema wananchi wote wa rock city. wewe na mkeo mmependeza sana man. nakutakia mwaka mpya mzuri na maisha mema.
    KAMJO - ROCK CITY

    ReplyDelete
  13. Masela vipi?

    Umeninyima harusi, mbona fasta fasta? Kila la heri karibu sana kwenye kundi, sasa umekua. Mdau Ex PiWiCi

    ReplyDelete
  14. mhh watu mnadarubuni hadi kupitia pich ammeona ka baby,du watu nuksi

    ReplyDelete
  15. Hizi tamaduni za kuiga nazo, eti mwanamke kumeremeta mpaka aache kifua chake wazi namna hiyo ndiyo kapendeza, mbona wanaume hawawi "uchi"!!

    ReplyDelete
  16. ...acha roho ya paka na ya korosho we anony wa mwisho kwani walikuja nyumbani kwako?watu wamejifungia harusi yao kivyao,sa we inakuuma nini jinsi walivyovaa...!nyie ndo mnaokuaga wanafiki,acha kuharibu siku ya furaha ya wenzio.kama hujapendezwa na picha basi pita pembeni.....!!!!?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...