Ma-MC Angela Bondo na Mavunde wakiwa na Askofu Laizer
Dk. Ada na wazazi wake wakiwa na watoto wa JK waliomwakilisha baba yao
viongozi wakuu walio madarakani na wastaafu wakipozi na mtarajiwa dk. anna lowassa kwenye send off iliyofanyika usiku kuamkia leo ukumbi wa diamond jubilee hall jijini dar
watarajiwa joel severin na dk. ada na wapambe wao

katibu mkuu wa CCM akipiga soga na baba mzaa chema mh. edward lowassa na mawaziri wakuu wastaafu wenzie Jaji Joseph Warioba na Dk. Salim Ahmed Salim na mkuu wa mkoa wa dar mh. William Lukuvi

Askofu Mkuu wa Kanisa la KKKT Alex Malasusa akitoa baraka zake kwa mtarajiwa Dk. Ada Lowassa


Shughuli ikikabidhiwa mikononi mwa Bwana kabla ya kuanza

Dk. Ada Lowassa na wafanyakazi wenzie toka hopitali ya Temeke

mtarajiwa na kamati ya maandalizi









Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 29 mpaka sasa

  1. Hongera Dr. Ada na mmeo mtarajiwa
    Kweli siku zimekwenda
    Mpolya E.A
    Japan

    ReplyDelete
  2. "HONGERA SAANA BWANA NA BI HARUSI"

    Sherehe imefana saana na yakupendeza,nimefurahishwa saana na mavazi ya kiutamaduni yaliyobuniwa kwa Bi harusi.

    Kila la kheri,katika maisha yenu ya kila siku na familia zenu.
    Mickey Jones-Denmark

    ReplyDelete
  3. I ilke it very traditional, all teh best kwenye wedding yako.

    mdau canada

    ReplyDelete
  4. Hongera sana Dr Ada mmependeza sana
    Unajivunia Utamaduni wa kwetu faari ya kwetu. Siowengine wakipata kidogo tu wata jitangaza mpaka tujue wamepata wabeba mabox wewe una uzuri wa kweli na unajifunia thamani ya kwenu halooo sipati picha lol...

    ReplyDelete
  5. sifahamu utamaduni wa kimasai kwa mavazi ya send off

    ila uso wa bi harusi mtarajiwa wangepunguza hizo shanga maana haonekani sawasawa usoni

    ReplyDelete
  6. safi sana...nimependa sana vazi halisi la nyumbani....elimu yako na uwezo wa fikra pevu...mungu akujalie ndoa yenye amani...kama kawaida jahazi la ndoa gumu kaza buti....

    ReplyDelete
  7. hili vazi la maharusi ni mfano wa kuigwa!mwe!mwe! mmependeza sana,hongereni

    ReplyDelete
  8. JAMANI MBEBA BOX KAINGIAJE HAPO TENA KA!?NGOJENI WAKIAMKA MTAKIONA,MTATAMANI MKUTANO UNAOENDELEA HUKO COPENHAGEN UAMIE HAPA KWA MICHUZI.

    ReplyDelete
  9. Hongera sana Kichiku mwanangu umependeza sana always hutaki makuu!Aunti Rehema.K

    ReplyDelete
  10. Hongera binti, umesoma vizuri na hatimae unaanza maisha yako kwa baraka nzito toka kwa wazazi na ndugu zako. Mungu akuzidishie.

    ReplyDelete
  11. You got to give a credit when due, this time you guys deserve one for remaining us that despite how successful we can be, or transformational we might be, our values and tradtions should be upheld.

    congrants

    ReplyDelete
  12. Michuzi unatuchanganya huyu demu anaitwa ANNA au ADA?? Hongera Kwa kuolewa

    ReplyDelete
  13. Hapo Makamba anapiga stori kusubilia Pilau. Huwenda kabeba ndizi kwenye koti lake. Anastori mzee huyo, acha tu!

    ReplyDelete
  14. aaaah jiraniii noel unamereta kweli hongera sana ada amependeza mno lol mmedumu nyinyi hadi leo kinaeleweka na ndoa yenu idumu milele.AMEN
    mdau canada

    ReplyDelete
  15. MAKAMBA NAYE SIKU HIZI ANA TUMBO LA BEER

    ReplyDelete
  16. Duh!!! Msg ya JK kwa Watanzania wote tumeipata. Mambo menyewe kama ndiyo haya, ni kweli tusitegemee kukamatwa mtu na kufikishwa kwenye vyombo vya sheria.

    Anyway, shughuli ya hapa si za kisiasa japo wanasiasa wengi wapo, ni ubinadamu na utanzania wetu ndio uliowakusanya hapa kuja kumpongeza ndugu yao.

    It,s Great To Be Black=Blackmannen

    ReplyDelete
  17. Ndio hivo baba sio waziri mkuu tena,ni noma. halafu huyo kijana wa Jk hana koti lingine maana hilohilo nikamuona nalo tena uwanja wa taifa.........lilikuwa halinuki kwapa?

    ReplyDelete
  18. Nimeipenda picha ya tano ya Vingunge wakipiga michapo. Ingekuwa yangu ningeipa title ya "Laughing with a laughing stock"

    ReplyDelete
  19. Tatizo la makamba amezidisha mzaha sana hata katika mambo yanayohusu maslai ya nchi.

    ReplyDelete
  20. Wed Dec 09, 04:16:00 PM
    " faari ya kwetu.."
    "unajifunia thamani.."

    ReplyDelete
  21. Ni NOEL na Sio JOEL. Honereni...

    BOoSt3D.

    ReplyDelete
  22. hongera sana severe,naona muda umekwenda.toka tumepokea kipaimara ,pale msasani sikukuona tena.all the best man.
    victor.

    ReplyDelete
  23. Mpendeza sana na mavazi yenu ya kiutamaduni. Mdau hapo juu hayo mavazi sio ya kimasai ni ya singida kwa mamake, kalaghabaho.

    ReplyDelete
  24. MZEE MAKAMBA KWA MNUSO, KIBOKO!!!!

    ReplyDelete
  25. bi harusi idea ya kuvaa kimasai was good, ila designer amezidisha, i believe so, yaani inakuwa msongow a vitu na sura ya mtu aionekani, if you are planning to do the traditional wed plz kumbuka kupunguza.

    ila congrats, na noeli sasa utulie ndio ukubwa, ila uzuri unamatured lady congrats.

    ReplyDelete
  26. mama yake si wa singida ni mrangi wa kondoa.

    mavazi hayo yangependeza kwenye kitchen party. licha ya ufisadi wa baba yake harusi kama ya mtu wa kawaida isipokuwa vigogo ndo wengi

    ReplyDelete
  27. Eeeeee wewe anon 11 Dec 01:29:00 AM
    acha kudanganya watu
    hayo ni 100 % mavazi ya Kimasai
    what are you talking about?!!!!
    yaani wewe huoni na hizo shanga shingoni.
    hilo vazi alilozovaa ni maalumu kwa bibi harusi wa kimasai.

    jamani watu wengine bwanaaaa




    ni mimi masai halisi

    ReplyDelete
  28. hongera sana ADA na NOEL, mungu awajaalie ndoa ya furaha milele.
    regards
    Dr.Mgori-Namibia

    ReplyDelete
  29. Kichiku/Ada siku zote umekuwa mtu wa kutotaka makuu, hongera sana Nakutakia baraka za Mungu katika maisha ya ndoa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...