.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hongera Dr. Ada na mmeo mtarajiwa
ReplyDeleteKweli siku zimekwenda
Mpolya E.A
Japan
"HONGERA SAANA BWANA NA BI HARUSI"
ReplyDeleteSherehe imefana saana na yakupendeza,nimefurahishwa saana na mavazi ya kiutamaduni yaliyobuniwa kwa Bi harusi.
Kila la kheri,katika maisha yenu ya kila siku na familia zenu.
Mickey Jones-Denmark
I ilke it very traditional, all teh best kwenye wedding yako.
ReplyDeletemdau canada
Hongera sana Dr Ada mmependeza sana
ReplyDeleteUnajivunia Utamaduni wa kwetu faari ya kwetu. Siowengine wakipata kidogo tu wata jitangaza mpaka tujue wamepata wabeba mabox wewe una uzuri wa kweli na unajifunia thamani ya kwenu halooo sipati picha lol...
sifahamu utamaduni wa kimasai kwa mavazi ya send off
ReplyDeleteila uso wa bi harusi mtarajiwa wangepunguza hizo shanga maana haonekani sawasawa usoni
safi sana...nimependa sana vazi halisi la nyumbani....elimu yako na uwezo wa fikra pevu...mungu akujalie ndoa yenye amani...kama kawaida jahazi la ndoa gumu kaza buti....
ReplyDeletehili vazi la maharusi ni mfano wa kuigwa!mwe!mwe! mmependeza sana,hongereni
ReplyDeleteJAMANI MBEBA BOX KAINGIAJE HAPO TENA KA!?NGOJENI WAKIAMKA MTAKIONA,MTATAMANI MKUTANO UNAOENDELEA HUKO COPENHAGEN UAMIE HAPA KWA MICHUZI.
ReplyDeleteHongera sana Kichiku mwanangu umependeza sana always hutaki makuu!Aunti Rehema.K
ReplyDeleteHongera binti, umesoma vizuri na hatimae unaanza maisha yako kwa baraka nzito toka kwa wazazi na ndugu zako. Mungu akuzidishie.
ReplyDeleteYou got to give a credit when due, this time you guys deserve one for remaining us that despite how successful we can be, or transformational we might be, our values and tradtions should be upheld.
ReplyDeletecongrants
Michuzi unatuchanganya huyu demu anaitwa ANNA au ADA?? Hongera Kwa kuolewa
ReplyDeleteHapo Makamba anapiga stori kusubilia Pilau. Huwenda kabeba ndizi kwenye koti lake. Anastori mzee huyo, acha tu!
ReplyDeleteaaaah jiraniii noel unamereta kweli hongera sana ada amependeza mno lol mmedumu nyinyi hadi leo kinaeleweka na ndoa yenu idumu milele.AMEN
ReplyDeletemdau canada
MAKAMBA NAYE SIKU HIZI ANA TUMBO LA BEER
ReplyDeleteDuh!!! Msg ya JK kwa Watanzania wote tumeipata. Mambo menyewe kama ndiyo haya, ni kweli tusitegemee kukamatwa mtu na kufikishwa kwenye vyombo vya sheria.
ReplyDeleteAnyway, shughuli ya hapa si za kisiasa japo wanasiasa wengi wapo, ni ubinadamu na utanzania wetu ndio uliowakusanya hapa kuja kumpongeza ndugu yao.
It,s Great To Be Black=Blackmannen
Ndio hivo baba sio waziri mkuu tena,ni noma. halafu huyo kijana wa Jk hana koti lingine maana hilohilo nikamuona nalo tena uwanja wa taifa.........lilikuwa halinuki kwapa?
ReplyDeleteNimeipenda picha ya tano ya Vingunge wakipiga michapo. Ingekuwa yangu ningeipa title ya "Laughing with a laughing stock"
ReplyDeleteTatizo la makamba amezidisha mzaha sana hata katika mambo yanayohusu maslai ya nchi.
ReplyDeleteWed Dec 09, 04:16:00 PM
ReplyDelete" faari ya kwetu.."
"unajifunia thamani.."
Ni NOEL na Sio JOEL. Honereni...
ReplyDeleteBOoSt3D.
hongera sana severe,naona muda umekwenda.toka tumepokea kipaimara ,pale msasani sikukuona tena.all the best man.
ReplyDeletevictor.
Mpendeza sana na mavazi yenu ya kiutamaduni. Mdau hapo juu hayo mavazi sio ya kimasai ni ya singida kwa mamake, kalaghabaho.
ReplyDeleteMZEE MAKAMBA KWA MNUSO, KIBOKO!!!!
ReplyDeletebi harusi idea ya kuvaa kimasai was good, ila designer amezidisha, i believe so, yaani inakuwa msongow a vitu na sura ya mtu aionekani, if you are planning to do the traditional wed plz kumbuka kupunguza.
ReplyDeleteila congrats, na noeli sasa utulie ndio ukubwa, ila uzuri unamatured lady congrats.
mama yake si wa singida ni mrangi wa kondoa.
ReplyDeletemavazi hayo yangependeza kwenye kitchen party. licha ya ufisadi wa baba yake harusi kama ya mtu wa kawaida isipokuwa vigogo ndo wengi
Eeeeee wewe anon 11 Dec 01:29:00 AM
ReplyDeleteacha kudanganya watu
hayo ni 100 % mavazi ya Kimasai
what are you talking about?!!!!
yaani wewe huoni na hizo shanga shingoni.
hilo vazi alilozovaa ni maalumu kwa bibi harusi wa kimasai.
jamani watu wengine bwanaaaa
ni mimi masai halisi
hongera sana ADA na NOEL, mungu awajaalie ndoa ya furaha milele.
ReplyDeleteregards
Dr.Mgori-Namibia
Kichiku/Ada siku zote umekuwa mtu wa kutotaka makuu, hongera sana Nakutakia baraka za Mungu katika maisha ya ndoa
ReplyDelete