Kocha Mkuu wa Klabu ya Simba, Patrick Phiri (shoto) na wasaidizi wake wa benchi la ufundi wakifuatilia kwa makini mchezo wa kutafuta mshindi wa tatu wa michuano ya Kombe la Tusker uliofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar leo Simba ilishinda 2-1 na kunyakua nafasi ya tatu, Fainali ni Jumapili hii kati ya Yanga na SofaPaka toka Kenya.
Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi akiwa amebanwa na wachezaji wa Tusker ya Kenya, Augustine Etemesi (kushoto) na Joseph Emeka katika mchezo wa kutafuta mshindi wa tatu wa michuano ya Kombe la Tusker uliofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar leo. Simba walishinda kwa bao leo. 2-1. Picha na Francis Dande wa Globu ya Jamii.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...