Mpigapicha wa gazeti la mwananchi, Emmanuel Herman akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa mkewe, Mary Bernad aliyefariki tarehe 24 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa maradhi ya figo na kuzikwa katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar Jumamosi hii.


Emmanuel Herman akipewa pole na Mpiga picha wa HabariLeo na Daily News Mroki Mroki wakati wa mazishi ya mkewe yaliyofanyika katika makaburi ya Kinondoni Jumamosi hii.

watoto wa marehemu wakati wa ibada ya mazishi



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. sala zetu ziko nawe, mungu akupe nguvu katika kipindi hiki kugumu.

    ReplyDelete
  2. Pole sana Ndugu Mpiganaji, may your wife Rest in Peace.

    Mungu nisamehe, ila kwa upande mwengine hiyo ni 'Vacancy' kwa kina mama.

    ReplyDelete
  3. KUFIWA NA MKE MWEE, YOU CAN NOT IMAGINE IT, IT IS BEYOND COMPREHENSIVE. POLE SANA.

    ReplyDelete
  4. Pole sana kaka herman pamoja na watoto mungu awape nguvu katika kipindi hiki kigumu...kuondokewa na umpendae ni kugumu ila ni kazi ya mungu...mke bado mbichii 1980 ana miaka 29 kama sikosei mungu amlaze mahala pema peponi amin.....Jikaze kaka piga moyo konde utafute mke mwengine mwenye huruma na busara ataeweza kuwapa malezi bora watoto kama alivyokuwa akifanya marehemu mama yao.

    ReplyDelete
  5. pole kaka,some of us are so emotional couldnt stop crying.wewe kati ya wanaume wachache nimeona wameshikwa kwa msiba.pole sana Mungu awatie nguvu wafiwa.amen

    ReplyDelete
  6. POLE SANA. MUNGU AWEPE NGUVU.

    KUMBUKA YOTE NI MAPENZI YA MUNGU.

    UNACHOWEZA KUFANYA TU KWA SASA NI KUWAANGALIA SANA WATOTO ULIOACHIWA NA MKE WAKO. KWANI WATOTO HAO NDIYO ALAMA YA MKE WAKO.

    AMINA

    ReplyDelete
  7. POLE SANA HERMAN. MUNGU AWAPE NGUVU KATIKA KIPINDI HIKI KIGUMU. MAY HER SOUL REST IN PEACE.

    ReplyDelete
  8. Oh Dear, polo sana Emma, pole bro, nakukumbuka sana tulikuwa wote hapo kipindi fulani, nimesikitika kwa kweli but M/Mungu anajua zaidi. Combo!!!

    ReplyDelete
  9. pole sana kwa msiba mzito anyeweza kukusaidia ni Mungu pekee, ninachoweza kusema Mungu akujalie hekima na nguvu ya kuendelea na maisha na uwezo wa kulea wanao katika mapenzi ya dhati ili kupunguza upweke wa kutokuwa na mama yao maana bado ni wadogo sana. napingana na hao wanaosema uanze kutafuta mwanamke mwingine kwa sasa hilo liweke pembeni kaka yangu angalia nyumba yako. Mungu awalinde na kuwajalia kila lililojema. poleni sana ndugu, jamaa na marafiki wa familia hii.

    ReplyDelete
  10. Ili ni fundisho kwa ambao mna bahati wake zenu wako hai mpaka sasa. Sisemi kwamba herman kamkosea mkewe, sababu siwajui.

    ReplyDelete
  11. Pole sana bro. Mungu akupe faraja na kukuwezesha kuangalia watoto wako.

    ReplyDelete
  12. MY CONDOLENCES TO THE FAMILY BUT, MOST OF ALL I FEEL SORRY FOR THOSE KIDS GROWING UP WITHOUT THEIR MOM! NO ONE CAN REPLACE THEIR MOTHER. HOPE THE DAD DOES A GOOD JOB IN RAISING THEM THEY NEED HIM MORE THAN EVER AT THIS DIFFICULT TIME. IT'S ALSO A SHAME HOW WE DIE SO YOUNG NOW A DAYS MAYBE IF SHE HAD A PROPER MEDICAL CARE SHE WOULD STILL BE ALIVE TODAY. POLENI WOTE SISTER FROM TORONTO ONTARIO.

    ReplyDelete
  13. Mungu awafariji na kuwapa nguvu mume na watoto. Uchungu wa kufiwa na mama katika umri wowote ni mgumu sana ukilinganisha hawa watoto katika umri mdogo walionao ni wazi kuwa wanahitaji mapenzi na matunzo ya mama zaidi lakini Mungu mwenye kuweza yote atawaongoza na kuwapa neema popote waendapo na kumpa neema na faraja mume mtu.

    ReplyDelete
  14. poleni sana wafiwa Mungu awape nguvu na faraja kweli hawa watoto ni wadogo sana Mungu akujalie hapo baadaye umpate mke mwingine mwema. amen

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...