Home
Unlabelled
tumkumbuke babu seya
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Inasikitisha sana ila wakitoka jela nikama vile watakuwa wamefungulia utajili maana watu wanawapenda sana siku wakianza tu kufanya shoo yao watu watatoka kwa wingi kuwasupport kwaiyo majonzi yatapungua kwa kiasi kikubwa sana ingawa hawatasahau mkasa uliyo wakuta ila na imani kwa kiasi kikubwa sana mambo yao tayakwenda vema tena kwa haraka sana na watu wengi watatokeza kuwapa msaada yaan kuwainua kimaisha. Inshallah Mwenyezi Mungu awalinde watoke salama salimini tena kwa siku za karibuni.
ReplyDeleteI never knew these lads in any capacity but since their incarceration I have heard two versions of their story. One is that they were framed for whatever reason I can't remember and the other is that they molested children of which they were convicted. I don't mind them rotting in prison if they really did this but my heart dreads to contemplate their feelings if they were really framed.
ReplyDeletenikiusikia mwimbo huu wa sea namkumbuka rafiki yangu seha nadhani yuko uk au us, alikua anaishi kinondoni morroco kama kuna mtu anayo namba yake au email ntashukuru nikiipata nimeachana nae miaka mingi sina contact zake!
ReplyDeleteAfrica will always be Africa. Akuna haki mi ni bora nizamie uku uku.
ReplyDeleteHebu nisaidieni kwani rufaa wameshinda?
ReplyDeletehivi wewe uneyesema africa hakuna haki unafikiri ni nani atakaye kuletea haki kama siyo wewe mwenyewe na watanzania wenzako hata hao wazungu haki haikupatikana hivihivi walipambana vya kutosha watu walikufa lakini leo wewe unayeishi huko unafaidi matunda yao.acha uoga pambana ili vitukuu vyako vije viishi kwa neema.ni hayo tu
ReplyDeletei dont now but
ReplyDeleteIs our contr i like tanzania i m very happy to bon tanzania. I dont like mzunguzi, yaani sitaki kuwa mtumwa wa mtu. Yasemwayo yasikuumize kichwa kaka jali mambo yako, uwe unajiamini katika mambo yote hakuna zaidi ya TZ, peace man.labda walifanya labda hawakufanyya
Naupenda sana huu mwimbo. I hope Nguza na wanae wataachiwa huru karibuni.
ReplyDeletebaba na mwana tunaimba na kucheza
ReplyDeletebaba na mwana mmefungwa pamoja
poleni inasikitika sana inshallah mtatoka!
dah michuzi ume nitouch sana big up mwana. zi-upload nyimbo za hawa jamaa katika jambonetwork basi tuwe tunazipata. papi kocha ana nyimbo nyingi nzuri ziwekage moja baada ya nyingine basi.
ReplyDeletemi mtoto wa kinondoni niliyejilipua mamtoni huku namkumbuka papii kichaa wangu si kidogo
huyu ndo farida mwanamke aliyemtaja babu sefa mahakamani anaitwa faridi anaishi kinondoni
ReplyDeleteTHEY WERE FRAMED. FULL STOP. UKWELI NDIO HUU.
ReplyDeleteLAKINI BWANA MALIPO HAPA HAPAA DUNIANI, WAMETESEKA SANA LAKINI UKWELI UTAJITOKEZA TUU. MUNGU SI ATHUMANI BWANA. HAKI ITATENDEKA. KUNA MTU TENA MKUBWA WA SERIKALINI, (JINA NALIHIFADHI, NISIJE NIKAPATA MATATIZO KAMA YA ZE-UTAMU) LAKINI NDIO ALIYOTOWA ORDERS, HAWA WATU WA WATU WATIWE NDANI, NA WAFUNGWE MAISHA. SIO SIRI HILI JAMBO LINAFAHAMIKA WAZI.