Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. very nice kipanya.

    ReplyDelete
  2. KWAKWELI HII KATUNI INANIFANYA NILIE NA KUTUKANA SANA NA NAJISIKIA KUANDIKA MATUSI HAPA ILA MICHU ITANIBANIA,HUYU GAVANA NI......

    ReplyDelete
  3. kipanya,no comment

    ReplyDelete
  4. hii ni true fact au ni burudani,kama ni kweli inauma kweli,PCB mko wapi jamani,na kwa furaha anathubutu sema hivyo hadharani ama kweli kuna watu TZ wanatunyonya maskini

    ReplyDelete
  5. HII INAONYESHA WAZEE WA VIJISENTI WAKO WENGI BONGO.

    PIA INAONYESHA JINSI GANI TOFAUTI YA MAISHA KATI YA WANANCHI ILIVYO KUBWA BONGO.

    ReplyDelete
  6. MMESAHAU MISEMO YA KISWAHILI "SOMA ULE", "MALI YA UMMA HAIUMI", "NCHI INA WENYEWE NA WENYEWE NDIO SISI" N.K

    ReplyDelete
  7. Watu mnaitaja bilioni kirahisi hivi mnaijua bilioni nyie?

    Sekunde bilioni zilizopita ilikuwa mwaka 1959
    Dakika bilioni zilizopita Yesu alikuwa hai
    Masaa bilioni yaliyopita ilikuwa zama za mawe
    Siku bilioni zilizopita binadamu alikuwa anatumia miguu na mikono kutembelea kama mnyama

    ReplyDelete
  8. kp unatisha unapeo wa hali ya juu kaka, saaaaalut...wezi sana hao then mnanikataza nisiuze ngozi za albino why?why?kwanini?kama noma na iwe noma kila mtu atafute style ya kumjonga mwenzie ilimradi mkono uwende kinywani kudadadeki zao mafisadi,mdau greece

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...