http://www.youtube.com/watch?v=RvG-HcBtoqI


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Yaani wewe upo tu umegangamala!mwanangu wewe sikuwezi nakusaluti,yaani album ya ngapi hii vile!! na bado unatesa,Good Job bro.

    ReplyDelete
  2. Duh Bonge La video. SUGU uko Juu sana. kweli we ni kaka yao. waonyeshe mfano bwana. Nakuaminia Mzee mzima,we ni mwanaharakati wa kweli. Tunataka wasanii 10 Km ww Tazania itabadilika kimuziki.
    UBISHI TU.INGAWA WANABANA.

    ReplyDelete
  3. Umefulia braza achana na mziki sio inshu utazingua tena!

    ReplyDelete
  4. IPO YOUTUBE YA WAPI? MANZESE????

    ReplyDelete
  5. Wewe watatu wewe,dec18,2:22pm ni HATER mkubwa,sugu hii ni fani yake!na hatoi album au muziki kwa kujionyesha yeye iko kwenye damu na wala hana shida ya kuuza kupata pesa kwa taarifa yako eti amefulia,amefulia kitu gani?na wala hana ishu ya kuimba ana ishu zake za maana weweee!Ukweli unabaki palepale ni mmoja wa muasisi wa RAP nchini,unalo hapooo!kwanza wewe una kipaji gani?afadhali mwenzio ana talent ya muziki,lol.Usirudie tena kuandika usilolijua.

    ReplyDelete
  6. dah hii nyimbo kwakweli ni ngumu sana kusikiliza, hakuna kionjo kabisa...jamaa habadiliki, hasa ukizingatia katengeneza nyimbo huku, hata video haina ladha...dah!!, Mr II i used to be a fan lakini huku uendako mshkaji sipo kwenyewe....

    ReplyDelete
  7. Anony wa Sun Dec 20,08:59am inaelekea una jazba na ubinafsi mkuu, na naamini una mapenzi binafsi na Sugu na si kimuziki. Hayo maisha yake nje ya muziki si hayatuhusu, la msingi ni status ya Sugu na Bongo fleva ya leo.

    Sisiti kusema Suga kafulia kimuziki, anaimba off beat mara kibao, na si nyimbo hii tu, hata ile ya Albino Flani ambazo ni mpya, maishairi yake ni mepesi hawezi fanana na vijana wa sasa wanao imba muziki wa aina yake kama Joe Makini, FA, Chidi, Niki Mbishi, Fid Q, The Legendary Proff Jay,Ngwea na madogo kibao wako fit na ukisikiliza unahisi huu ni muziki na si nyimbo tu.

    Sugu so far hii fani kama anavamia tu, kama issue si hela kwanini ahangaike na kuipigia magoti clouds ambako awali alidiss ili wamuandalie tamasha now? Jamaa kalamba matapishi kama hujui ndo nakujulisha. Anafanya tamasha anaita watu kibao walio juu na utafajifanya huoni kuwa anataka watu wengi maana aliowaalika ni wazi wanamfunika na wanapendwa na watu wengi. Halihitaji jicho la tatu hili.

    Huyu pia si muasisi wa Rap/Hipo Hop bongo, na si mtu alieupeleka huu mziki level zingine hapa bongo. kila mtu anajua hili, sikatai alikuwa mkali alipoanza sikika ealry 90's but si muasisi na si mtu aliepeleka huu muziki ulipo, ni contributor tu.
    As far as respect is concerned anaheshima zake ka mtu alie kaa katika gemu muda mrefu....

    Lakini he is no longer that good

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...