DJ LUKE KUTOKA DC
KWA MARA NYINGINE TENA ATATUA HOUSTON JUMAMOSI DEC 26, KUFUNGA MWAKA KWA BURUDANI SAFI YA OLDSKUL ZA KUKATA NA SHOKA, FIKA UKUMBUKE ENZI ZAKO ZA MBOWE,RSVP,VISION,MOTEL AGIP, TWIGA,VALENTINO,RUNGWE OCEANIC,STUDIO 35,JET SET, TOTO DISCO YMCA,CLOUDS POOL SIDE,TAZARA,PINK COCONUT,SPACE 1900,
YOTE NDANI YA
CLUB SAFARI
7601 DEMOSS DR,
HOUSTON,TX,77063
KARIBU UPATE ILE KITU ROHO INAPENDA
CLUB SAFARI
7601 DEMOSS DR,
HOUSTON,TX,77063
KARIBU UPATE ILE KITU ROHO INAPENDA
mavitu yanaanza saa ngapi na kuisha saa ngapi si unajua mambo ya box?
ReplyDeleteMi nimetoka Arusha mjini na nimeishi Dodoma mjini pia. Hizo club zote zinazotajwa ni za Dar!! Kwani Houston kuna watu wa Dar tu?Mwanza je? Tanga je?
ReplyDeletembona hamna Cave Disco au NK disco ya Dodoma, tumejirusha sana Morogoro Hotel enzi nzetu.
Poa, mi 12/26 ntaenda New Jersey, Atlantic City -Club 40/40 ya Jay Z manake huko ni poa zaidi. Kote shamba, Bongo hamna mji wa kusema mji, hivyo msibaguane watu wa Arusha vs watu wa Dar vs watu wa Bukoba vs watu wa Mwanza,n.k Jengeni utaifa na mshikamane kwa kila jambo. Ni hayo tu. Noeli njema na heri ya mwaka mpya.
wakirisha kaka Nkamia 'kocha matangazaji' all the best.Challi
ReplyDeleteNi ngumu sana kumuelewa mtoa maoni wa Dec 17,12:21 Pm.Kama tangazo halikuhusu,soma matangazo mengine.Siyo kila mtanzania anayekaa Houston atakuwepo siku hiyo.Huna sababu ya kubishana na TV uanweza ku-flip channel and life goes on.Hongera mixmaster nenda kawarushe vijana wa zamani.
ReplyDeleteDJ LUKE sasa amekuwa ni DJ wa USA.Alipiga kule St. Paul(Minnesota) kwenye boat,Boston,Springfield Cambridge(MA),Houston @ Thanksgiving Party,Safari DC,Columbus (Ohio),Kweli jamaa hana mshindani huko USA.
ReplyDelete