keki ya sherehe ya kutimiza miaka 48 ya uhuru
wa tanzania iliyoandaliwa na wadau huko Liberia
Mwenyekiti wa Umoja wa watanzania na baadhi ya
watoto wa tanzania huko Liberia wakikata keki
Watanzania waishio Liberia wakiimba wimbo wa Taifa. Ama hakika kuna mwamko mkubwa wa wadau walio nje ya nchi kukumbuka maadhimisho muhimu kama haya. Globu ya Jamii inawapa heko



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Hadi Liberia waTanzania wanaishi!

    ReplyDelete
  2. mm michuzi nauliza tu ni sherehe ya uhuru wa Tanzania au ni Tanganyika?mbona sherehe za mapinduzi Zanzibar tunasema ni sherehe za mapinduzi ya Zanzibar na sio mapinduzi ya Tanzania?Njuavyo mm Tanzania kuna vitu hivi vitatu

    1.Uhuru wa Tanganyika 09/12

    2.Mapinduzi ya Zanzibar 12/1

    3.Muungano 26/4

    nawakilisha mdau no 999

    ReplyDelete
  3. Siku hizi kuna umeme Liberia?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...