wa tanzania iliyoandaliwa na wadau huko Liberia
Mwenyekiti wa Umoja wa watanzania na baadhi ya
watoto wa tanzania huko Liberia wakikata keki
Watanzania waishio Liberia wakiimba wimbo wa Taifa. Ama hakika kuna mwamko mkubwa wa wadau walio nje ya nchi kukumbuka maadhimisho muhimu kama haya. Globu ya Jamii inawapa heko

watoto wa tanzania huko Liberia wakikata keki

Hadi Liberia waTanzania wanaishi!
ReplyDeletemm michuzi nauliza tu ni sherehe ya uhuru wa Tanzania au ni Tanganyika?mbona sherehe za mapinduzi Zanzibar tunasema ni sherehe za mapinduzi ya Zanzibar na sio mapinduzi ya Tanzania?Njuavyo mm Tanzania kuna vitu hivi vitatu
ReplyDelete1.Uhuru wa Tanganyika 09/12
2.Mapinduzi ya Zanzibar 12/1
3.Muungano 26/4
nawakilisha mdau no 999
Siku hizi kuna umeme Liberia?
ReplyDelete