Pichani ni Wahitimu wa shahada ya Uzamili baada ya kupokea zawadi zao za Uanafunzi Bora kwa kufanya vyema na kuhitimu kozi zao katika chuo cha Tiba cha Muhimbili. Kutoka kulia mwa skrini, wa tano ni Mkuu wa Chuo hicho Prof. Kisali Pallangyo na wa nane ni Prof. David Ngassapa. Na leo wanavaa majoho na kula nondozzz zao rasmi kwenye mahafali ya chuo hicho. Hongereni sana wadau kwa kupiga hatua kimasomo katika masuala ya afya!
Subi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Ahaa inasikitisha yaani msichana ni mmoja tu!!!

    Ni masomo magumu sanaaaaa au ni ile kukomoana bado haijaisha.

    ReplyDelete
  2. kweli hongereni saaaana

    ReplyDelete
  3. Siku hizi medicine nayo ina kuwa bora...so inamaana ni wanakuwa madaktari bingwa au? Ina maana Mh2 nako kuna first class as well as pass? Unless tuambiwe exactly hawa jamaa ni wanafunzi bora katika nini...in medicine my be misleading

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...