Meneja Uhusiano na Mawasiliano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Maneno Mbegu (kulia), akitoa muhtasari kuhusu utendaji wa kampuni hiyo, kwa waandishi wa habari, waliotembelea kujua jinsi bia inavyotengezwa katika kiwanda cha TBL, Dar
Waandishi wakimsikiliza Meneja wa Upikaji Bia wa Kiwanda cha Bia Tanzania (TBL),Dar es Salaam, Kalvin Nkya (katikati), jinsi bia inavyopikwa
Meneja wa Upikaji Bia wa Kiwanda cha Bia Tanzania (TBL) Kalvin Nkya (katikati), akielezea kuhusu mitambo inayosafisha maji taka na kuwa safi kwa ajili ya baadhi ya matumizi kiwandani hapo.,
Waandishi wa habari wakiangalia mtambo wa wa kusafisha maji taka na kuwa safi kwa ajili ya matumizi mbalimbali. Mtambo huo umejengwa kwa gharama ya sh. bilioni 3.
Meneja wa Upikaji Bia wa Kiwanda cha Bia Tanzania (TBL),Dar es Salaam, Kalvin Nkya (wa pili kushoto), akitoa maelezo kwa Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari, nchini, jinsi bia inavyochachushwa, walipotembelea kiwanda hicho, jana. Kushoto ni Meneja Uhusiano na Mawasiliano wa TBL, Maneno Mbegu.





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...