Wajameni madereva wa Bongo, hebu tujifunze kuchomekea namna hii bila kupigana pasi...yaani itakuwa bomba kichizi....
Mdau KB
Most read Swahili blog on earth
Wajameni madereva wa Bongo, hebu tujifunze kuchomekea namna hii bila kupigana pasi...yaani itakuwa bomba kichizi....
Mdau KB
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
jamani hii ni kweli!haiwezekaaani!!!
ReplyDeletebaab kubwa , hiii imetulia , kinachofurahisha jamaa wako makini , ingekuwa sehemu nyingine hapo basi pasi kibao mizinbga haisebaki !!!!
ReplyDeletenhe he
ReplyDelete...ukishatoka kuendeshea eneo kama hili, ukaenda ishi nchi wanakotumia taa za kuongozea magari barabarani, basi inabidi kazi ya ziada ifanyike kupiga msasa na kuondoa upupu wote ulojaa kichwani wa kuchomeka chomeka na kukatiza vululu vululu.
poa sana
ReplyDeleteNikuhakikishie tu mdau hii inawezekana kabisa, yaani fanya uje utemebee India utaona kama hili ni jambo dogo sana. Nilipotua siku ya mwanzo niliogopa sana ila sasa nashkuru nimeungana nao.
ReplyDeleteJunior Hyderabad
Modification.
ReplyDeleteMwendo wa waendeshaji umeongezwa kuleta utamu kwenye video.
Original yake wanaendesha slow
si mchezo hii watu wa bongo hawatoiweza watakufa kama njugu wache tufate sheria za taa,hawa jamaa wanastahili sifa kutokana sheria yao ukimgonga mtu kwanza leseni huna tena maishani mwako na mgonjwa ulie mgonga umuhudumie mie mpaka kufa kwake hiyo ndio sheria ilivyokuwa mitaa hiyo na ndio maana wapo makini juu ya mwendo wote na kadhalika na sheria inatumika kweli sio kama kwa wapumbavu hapo bongo asanteni,
ReplyDeletelazima nikubali. hii ni kali. itakuwa buguruni sheli hii. hapo madereva wanatoka mandela rd na kuingi uhuru rd.
ReplyDeleteThey are just buying time for a big time accident to happen. They need to fix this mess.
ReplyDeleteInachekesha lakini ni hatari. Usalama hapo hakuna wanajidanganya kama hapo ndiyo wamefika.
Duh wahindi wanachomeka hao alafu vipikipiki ndio vimeniwacha hoi duh...
ReplyDeleteduh! kweli India tambarare!!
ReplyDeletekweli india vitu adimu kama hivi vinapaticana ila bongo wakijaribu tu watkufa kama njugu sio utani, wenzetu wako makini na kunakuachana fulani
ReplyDeletesi kweli na sitaki kuamini,ningepata ugonjwa wa moyo na kupaki gari pembeni lol
ReplyDeletehahahaaaa khaaaa
hii ni kweli kabisa India vitu hivi ni vya kawaida kabia. Challi
ReplyDeletemsidanganyike,hapo wanachomeka kama bongo tu,hio imeongezwa speed ndio maana inatisha
ReplyDeletewee junior hyderabad nshakujua unakaa mallapally pale,ila hio clip ni kweli haina chumvi wala nn na hio ni sehemu ndogo tu sasa kazi huko ktk barabara kubwa hutaamini kabisa....hongera ulietuma video
ReplyDeletemdau 999
IGA UFEE..KWANZA INABIDI ULE PILIPILI SANA CLASS NAMBA ONE UWEZE KUWA SPEED NANA HIII
ReplyDeletesio sifa
ReplyDeleteMimi nimejifunza kuendesha na kupatia leseni yangu India. ni kweli kuwa wanaendesha mithili hiyo.
ReplyDeleteLAKINI, HII Ni MODIFICATION. imepleiwa kwa speed kubwa kuliko halisis. ANGALIA WAENDA kwa miguu ndiyo utajua kuwa imeharakisha zaidi.
Kiukweli Dar TUNAJUA sana kuchomekea bila kukwaruzana. Mara nyingi ukikwaruzwa utakuta ni Mzungu au Dereva wa STK. Madereva wa STK wanajiona ma waziri na huwa wanafikiria utawapisha tu.
india magari yao kitu cha muhimu ni brake na horn, halafu hakuna kusita! kitu kingine wanajali usalama wa watu, akikuona unaingia anaminya breki....lkn sio bongo thubutu...
ReplyDeleteHAPA NI INDIA..NOWHERE ELSE...LOLZ..
ReplyDelete