Wajameni madereva wa Bongo, hebu tujifunze kuchomekea namna hii bila kupigana pasi...yaani itakuwa bomba kichizi....

Mdau KB

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 21 mpaka sasa

  1. jamani hii ni kweli!haiwezekaaani!!!

    ReplyDelete
  2. baab kubwa , hiii imetulia , kinachofurahisha jamaa wako makini , ingekuwa sehemu nyingine hapo basi pasi kibao mizinbga haisebaki !!!!

    ReplyDelete
  3. nhe he
    ...ukishatoka kuendeshea eneo kama hili, ukaenda ishi nchi wanakotumia taa za kuongozea magari barabarani, basi inabidi kazi ya ziada ifanyike kupiga msasa na kuondoa upupu wote ulojaa kichwani wa kuchomeka chomeka na kukatiza vululu vululu.

    ReplyDelete
  4. Nikuhakikishie tu mdau hii inawezekana kabisa, yaani fanya uje utemebee India utaona kama hili ni jambo dogo sana. Nilipotua siku ya mwanzo niliogopa sana ila sasa nashkuru nimeungana nao.
    Junior Hyderabad

    ReplyDelete
  5. Modification.

    Mwendo wa waendeshaji umeongezwa kuleta utamu kwenye video.
    Original yake wanaendesha slow

    ReplyDelete
  6. si mchezo hii watu wa bongo hawatoiweza watakufa kama njugu wache tufate sheria za taa,hawa jamaa wanastahili sifa kutokana sheria yao ukimgonga mtu kwanza leseni huna tena maishani mwako na mgonjwa ulie mgonga umuhudumie mie mpaka kufa kwake hiyo ndio sheria ilivyokuwa mitaa hiyo na ndio maana wapo makini juu ya mwendo wote na kadhalika na sheria inatumika kweli sio kama kwa wapumbavu hapo bongo asanteni,

    ReplyDelete
  7. lazima nikubali. hii ni kali. itakuwa buguruni sheli hii. hapo madereva wanatoka mandela rd na kuingi uhuru rd.

    ReplyDelete
  8. They are just buying time for a big time accident to happen. They need to fix this mess.

    Inachekesha lakini ni hatari. Usalama hapo hakuna wanajidanganya kama hapo ndiyo wamefika.

    ReplyDelete
  9. Duh wahindi wanachomeka hao alafu vipikipiki ndio vimeniwacha hoi duh...

    ReplyDelete
  10. duh! kweli India tambarare!!

    ReplyDelete
  11. kweli india vitu adimu kama hivi vinapaticana ila bongo wakijaribu tu watkufa kama njugu sio utani, wenzetu wako makini na kunakuachana fulani

    ReplyDelete
  12. si kweli na sitaki kuamini,ningepata ugonjwa wa moyo na kupaki gari pembeni lol

    hahahaaaa khaaaa

    ReplyDelete
  13. hii ni kweli kabisa India vitu hivi ni vya kawaida kabia. Challi

    ReplyDelete
  14. msidanganyike,hapo wanachomeka kama bongo tu,hio imeongezwa speed ndio maana inatisha

    ReplyDelete
  15. wee junior hyderabad nshakujua unakaa mallapally pale,ila hio clip ni kweli haina chumvi wala nn na hio ni sehemu ndogo tu sasa kazi huko ktk barabara kubwa hutaamini kabisa....hongera ulietuma video

    mdau 999

    ReplyDelete
  16. IGA UFEE..KWANZA INABIDI ULE PILIPILI SANA CLASS NAMBA ONE UWEZE KUWA SPEED NANA HIII

    ReplyDelete
  17. Mimi nimejifunza kuendesha na kupatia leseni yangu India. ni kweli kuwa wanaendesha mithili hiyo.

    LAKINI, HII Ni MODIFICATION. imepleiwa kwa speed kubwa kuliko halisis. ANGALIA WAENDA kwa miguu ndiyo utajua kuwa imeharakisha zaidi.

    Kiukweli Dar TUNAJUA sana kuchomekea bila kukwaruzana. Mara nyingi ukikwaruzwa utakuta ni Mzungu au Dereva wa STK. Madereva wa STK wanajiona ma waziri na huwa wanafikiria utawapisha tu.

    ReplyDelete
  18. india magari yao kitu cha muhimu ni brake na horn, halafu hakuna kusita! kitu kingine wanajali usalama wa watu, akikuona unaingia anaminya breki....lkn sio bongo thubutu...

    ReplyDelete
  19. HAPA NI INDIA..NOWHERE ELSE...LOLZ..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...