NI KIPINDI CHA MAPUMZIKO SASA NA SOFAPAKA YA KENYA WANAIONGOZA YANGA KWA BAO 1-0 WALILOPATA DAKIKA YA 35 YA KIPINDI CHA KWANZA. YANGA WAMETAWALA UWANJA LAKINI WASHAMBULIAJI WAO HAWANA SHABAHA.
Home
Unlabelled
YANGA IKO NYUMA BAO 0-1 DHIDI YA SOFAPAKA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...