Boniface ambani akishangilia bao
kocha wa sofapaka akitoa maelekezo baada ya yanga kusawazisha
juu na chini mshambuliaji hatari wa yanga akichachafya ngome ya sofapaka
YANGA INASAWAZISHA DAKIKA YA 84 KWA GOLI TAMU LILOFUNGWA NA BONIFACE AMBANI. GEMU NDIO LINAPAMBA MOTO NA SOFAPAKA WAMEKUJA JUU KUTAKA KUONGEZA.







ZIKIWA ZIMEBAKI DAKIKA TANO ZA MAJERUHI, MSHAMBULIAJI HATARI WA YANGA MRISHO NGASA ANAIANDIKIA YANGA BAO NA SASA NI BAO 2-1 YANGA WANAONGOZA. MASHABIKI WA YANGA WANAIMBA "CCM... CCM CCM"

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. washabiki wa yanga walikuwa wanashangilia "ccm ccm ccm"? kule watu wamerogwa.

    ReplyDelete
  2. Yanga bwana....hutujui muuza Karafuu, Mnyama wa polini wala wa kufugwa....wote kichapo tu!

    ReplyDelete
  3. yanga siipendi lakini hiyo picha ya mwanzo imetoka art kweli kushoto kwake mwalimu kuliani jk hongera mpigaji picha.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...