VIJANA MACHACHARI WA TIMU YA TAIFA YA ZENJI, ZANZIBAR HEROES, LEO IMEIFUNGA TIMU NGUMU YA ZAMBIA KWA PENATI 5-3 NA KUSONGA MBELE KUELOEKEA NUSU FAINALI ZA KOMBE LA CHALENJI HUKO KENYA LEO.
KIPA MOHAMED NDIYE ALIYEKUWA NYOTA WA MCHEZO KWA KUWEZA KUPANGUA PENATI YA TANO NA KUIPAISHA ZANZIBAR KUELEKEA NUSU FAINALI HIZO. HADI KIPYENGA CHA MWISHO CHA DAKIKA ZA NYONGEZA KULIA ILIKUWA BAO 0-0.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 18 mpaka sasa

  1. HONGERENI SAAAAANA NDUGU ZETU NA KILA LA HRI KTK NUSU FAINALI

    ReplyDelete
  2. Leo tumekua vijana machachari wa Zanzibar,lakini juzi tuliambiwa tukalime karafuu na kuvua samaki tunatia aibu Challenge,na Burundi ilikua timu tuobwe pia baada ya kufungwa na zanzibar na Ngasa aizamisha Zanzibar,lakini nashangaa sasa hao wazuri wa mashindano haya tumewatoa je hamjaamini tu bado kuwa kandanda la visiwani sio mchezo?Tunawasubiri nyinyi na ubaguzi wenu,hamjua Zanzibar ni Tanzania? Ikishinda Bara au Zanzibar yote ni Tanzania tu na kombe litarudi Tanzania tu.

    ReplyDelete
  3. "HONGERA ZANZIBAR HEROES"
    Kuifunga Zambia na kusonga mbele katika nusu fainali ni matokeo ya uhakika yanayostahili sifa zote kwa juhudi zenu.
    "KILA LA KHERI KATIKA NUSU FAINALI"

    Mickey Jones-Denmark

    ReplyDelete
  4. nawaponzeza vijana kwa ushindi. Ila kuna kitu kinanitatiza kidogo. Hivi mfano Zanzibar na Tanzania Bara zikaingia kwenye fainali, sasa inakuwaje upande wa ushabiki. Nani amuombee mwenzake mabaya?

    ReplyDelete
  5. Doh! Leo washakua machachari kumbe.Before walikua matobwe,Mechi zote zilochezwa magazeti ya kigeni yanasema mpira safi ulioneshwa na Znz,na hata dhidi ya KILI STARS,washabiki waliishangiria ZNZ kwa mujibu wa magazeti,hayo hayaonekani hata habari yake ya draw na uganda juzi haijawekwa sehemu nyingi lakini walipofungwa kila kona kulikua KILI yaizamisha Zenji

    ReplyDelete
  6. Bfya link hii hapa http://www.youtube.com/watch?v=hdRBfLOPkUk kuangalia penati za zanzibar na zambia...
    Zanzibar ina wachezaji wengi yosso.. Maximo inabidi awatupie jicho hawa watoto

    ReplyDelete
  7. Hapo inawaonesha Maximo Vipaji si Simba na Yanga tu Vipaji vipo ukizunguka Tanzania Bara na Visiwani. Nenda Mikoani Nenda Visiwani sio unatizama hapo hapo tu Dar-es-salaam wa Simba na Yanga umeruka Mtibwa au Azam. Tanzania tunataka Ma Kocha wetu wa hapa hapa Tanzania. Kimaro. Maximo Njeeeeeeeeeee.

    ReplyDelete
  8. hongereni ndugu zetu wa chenga twawala

    ReplyDelete
  9. Ivory Coast to train in Tanzania

    Elephants to set up camp in Tanzania

    Ivory Coast will train in Tanzania before traveling to Angola for next year's Nations Cup finals.

    The decision was confirmed on Monday in Dar es Salaam at a joint press conference between the members of the football federations of both countries.

    The coach of the Elephants Vahid Hallilhodzic was also present.

    The Ivorians will play two friendly matches against the Taifa Stars on January 4 and January 7 before flying out to Luanda.

    Present during the announcement were the president of Tanzania Football Federation Leodegar Tenga and Ivorian FA vice president Idris Dialo.

    Tenga said they had approached the Ivorians.

    "We approached Ivory Coast when they were in Malawi for their World Cup qualifier, and they accepted our request to set camp here. We will foot all the costs," he said.

    Ivory Coast FA vice president Dialo said they were happy with the invitation and expressed satisfaction at the facilities.

    "We have inspected the training ground, the stadium, we are happy with the facilities and ready to camp here," he said.

    Tenga said they would use the matches to warm up for the Africa Nations Cup.

    Tanzania has been promoting itself as a training destination for the teams going to the World Cup finals in South Africa.

    An invitation was also sent to Brazil inviting them to camp in Tanzania ahead of next year's world cup in South Africa but the former world champions turned the request down.

    The federation officials say they are still contacting other nations over the possibility of stopping over in Dar es Salaam.

    The country boasts a modern stadium in Dar es Salaam, which is a main attraction point.

    Deputy Sports Minister Joel Bendera also said the southern African countries grouped under SADC regional organisation, had agreed to promote the region as a whole as a World Cup destination.

    ReplyDelete
  10. Zanzibar Oyee!!

    ReplyDelete
  11. Anony wa pili sijapenda neno ulilotamka kwamba watu wa bara ni wabaguzi, hasa ukitumia maneno ya watu wachache alafu waliyo yatoa katika mazingira ya michezo, naomba usipende ku-Generalize mambo hasa unayokuwa umeyapata kwa watu wachache. Naomba nisilizungumzie sana hili maana limekaa kitoto sana.

    ReplyDelete
  12. SAALAAAAMU KWAKOO EEE MAXIMO!!!

    ReplyDelete
  13. Unajua vyombo vya habari vya bara haviijui timu ya zanzibar ikoje..ila kimsingi wale vijana ni wadogo na wazuri na wamekaa pamoja muda mrefu tu na yule kocha wao mmisri..hili liwe funzo kwa maximo ajue vipaji vipo pande zote sio bara tu zambia ni timu ngumu na inajulikana afrika nzima kuitoa ni kigezo tosha kudhihirisha hawa jamaa wapo fit na sio bla bla za magazeti za kumsifu mchezaji mmoja mmoja

    ReplyDelete
  14. nasema SIELEWI..............

    ivi kuna timu ya taifa ya tanzania na timu ya zanzibar ya.....??????

    kama mdau apo juu inakuweje taifa stars vs zenji ushangilie wapi na uombee baya wapi???????????????????

    jana nilisikiliza bbc/voa waliliongelea hili eti hii ilikuwepo tangu awali kwenye kombe la gosan cap-km sijakosea wakati huo zanzibar na tanganyika:sasa kama now zimekuwa nchi moja yaweje tena??????

    msifananishe na ireland,uingereza,scotland ni vitu tofauti kabisa na bongo

    stupid mpira wa kibongo

    ReplyDelete
  15. ZANZIBAR OYEE.hadi dakika 90 zinaisha matokeo ni 0-0,na sio 2-2.zanzibar imeshinda kwa penati 4-3 na sio 5-4....kuwa makini,ondoa mawazo kazini.

    ReplyDelete
  16. Annoy wa pili inaonekana wewe NDIO mbaguzi,kuna mijitu humu kila kitu inaweka mbele UMIMI,hakika tukiwa hivi sijui taifa hili litaishia wapi,hii ni michezo tu,jitu linakuja na mahisia yake ya UMIMI,acheni hizi tafadhali,Bro MICHU maoni ka hayo yaliokaa kisharishari na nia ya kuharibu hali ya hewa YASIUONE MWANGA tafadhali.

    ReplyDelete
  17. NAWAPONGEZA ZANZIBAR KWA KAZI MZURI WALIYOIFANYA KUWATUPA NJE ZAMBIA.

    MASHINDANO HAYA YANAHUSIANA NA FIFA RANKINGS KWELI? IF SO, NI NANI ATAKUWA ANAPANDA CHATI?

    IKIWA JAMAA WATAFANIKIWA KUCHUKUA KOMBE LA CHALLENGE BASI MAXIMO NA KIKOSI CHAKE WAWEKWE KANDO ILI ZANZIBAR WATUWAKILISHE KWENYE MASHINDANO YAJAYO.

    TO BE HONEST, I WILL BE HAPPY.

    ReplyDelete
  18. Manyangu, Misungwi TZDecember 08, 2009

    MWAMBISNI HUYO BABA HAAMBILIKI MAXIMO KUWA MICHUANO IJAYO KASEJA ATACHEZEA ZANZIBAR HEROES NA YEYE ABAKI NA HIYO ROHO YAKE MBAYA. Teh Teh Teh!!!!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...