Msanii mahiri wa miondoko ya Chakacha kutoa Nairobi Kenya Fifi Moto akimpagawisha shabiki wake kwa namna ya kipekee kabisa,kwenye onesho la taarab la kufungua mwaka lililofanyika usiku wa kuamkia leo pale Traveltine Magomeni jijini Dar,Onesho hilo ambalo lilifana sana liliandaliwa na kampuni ya Manywele Entertainment na kudhaminiwa na redio ya Clouds FM
1.Meneja mahusiano wa Manywele Entertainment Maimatha wa Jesse akimtuza Fifi Moto mara baada ya kukunwa vilivyo na mauno laiiini ya mwanadada huyo kutoka Nairobi nchini Kenya.

Wenyewe wanamwita Mfalme wa taarabu Bongo,Mzee Yusuph akiliongoza vema kundi lake zima la Jahazi Modern Taarabu na wimbo wake murua kabisa wa alamba,alamba aamhh..!mbele ya umati mkubwa uliofika usiku wa kuamkia leo pale Traveltine



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. heheeee! pajazzz + viunozz!! patamu sana hapo!! safi sana mwana haya ndo mambo sasa.
    Mdau wa Pajazzz+titizzzz

    ReplyDelete
  2. Nilisau kuuliza. hivi huyu fifi moto ukiwa nae 6 by 6 by FAR, libeneke lake si unaweza omba half time mwana? manake mtoto ana laana huyo nshawahi kumwona laivu one day moja.
    Mdau wa pajazzz+titizzz

    ReplyDelete
  3. huyu dem nni mikosi,kama na kwenye chakula cha usiku mtundu hivi basi ni hatariiii....

    ReplyDelete
  4. wadau #1 na #2 mna laana...asa wee pajazz+titiz

    ReplyDelete
  5. mimi niliwahi kuwa nae kwenye 6 kwa 6 alikuwa mvivu sana hanalolote mimi mwenyewe nilishindwa kuelewa mara nyingi wanawake kama hawa huwa wanachemsaha kwenye 6 by6

    ReplyDelete
  6. fifi Moto...mhhhh. no comments

    ReplyDelete
  7. nyinyi wengine hamjawahi kuona pajaz za haja enh? mnasifu paja wala hamna lolote!!!

    ReplyDelete
  8. Pajaz? hivi mnatania au? mguu uko kama fimbo ya kupopolea maembe na nyie mnasifu kuwa ana pajaz?

    ReplyDelete
  9. mama HellenasraJanuary 28, 2010

    mimi fifi wala sitii neno,kiuno lainiii..lkn sio sababu ya yy kujua kuzungusha nyonga kwa bed..
    tofautisha kukata kiuno ukiwa umesimama upo frexible na kukata kiuno ukiwa na mtu juu yako ama kakushikilia..kiuno cha bed kina mafunzo yake tofauti na jukwaani..ndomaana makabila flan flan wakati wa kufundishwa kiuno cha bed lzm akaliwe na mtu juu.
    ila huyo maimartha jamani hebu mshaurini apunguze mkorogo!
    kwani weusi ni ubaya na weupe ni uzuri? ndomaana wazungu wanachizika sana na wadada weusi kuliko weupe,,yan ni tabia za watu wasioenda shule,kwa msomi mkorogo hata haufai,weusi wako unaunulia malotion ya ukweli unakuwa soft km chocolate vile!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...