Msanii mahiri wa miondoko ya Chakacha kutoa Nairobi Kenya Fifi Moto akimpagawisha shabiki wake kwa namna ya kipekee kabisa,kwenye onesho la taarab la kufungua mwaka lililofanyika usiku wa kuamkia leo pale Traveltine Magomeni jijini Dar,Onesho hilo ambalo lilifana sana liliandaliwa na kampuni ya Manywele Entertainment na kudhaminiwa na redio ya Clouds FM
1.Meneja mahusiano wa Manywele Entertainment Maimatha wa Jesse akimtuza Fifi Moto mara baada ya kukunwa vilivyo na mauno laiiini ya mwanadada huyo kutoka Nairobi nchini Kenya.
Wenyewe wanamwita Mfalme wa taarabu Bongo,Mzee Yusuph akiliongoza vema kundi lake zima la Jahazi Modern Taarabu na wimbo wake murua kabisa wa alamba,alamba aamhh..!mbele ya umati mkubwa uliofika usiku wa kuamkia leo pale Traveltine

heheeee! pajazzz + viunozz!! patamu sana hapo!! safi sana mwana haya ndo mambo sasa.
ReplyDeleteMdau wa Pajazzz+titizzzz
Nilisau kuuliza. hivi huyu fifi moto ukiwa nae 6 by 6 by FAR, libeneke lake si unaweza omba half time mwana? manake mtoto ana laana huyo nshawahi kumwona laivu one day moja.
ReplyDeleteMdau wa pajazzz+titizzz
huyu dem nni mikosi,kama na kwenye chakula cha usiku mtundu hivi basi ni hatariiii....
ReplyDeletewadau #1 na #2 mna laana...asa wee pajazz+titiz
ReplyDeletemimi niliwahi kuwa nae kwenye 6 kwa 6 alikuwa mvivu sana hanalolote mimi mwenyewe nilishindwa kuelewa mara nyingi wanawake kama hawa huwa wanachemsaha kwenye 6 by6
ReplyDeletefifi Moto...mhhhh. no comments
ReplyDeletenyinyi wengine hamjawahi kuona pajaz za haja enh? mnasifu paja wala hamna lolote!!!
ReplyDeletePajaz? hivi mnatania au? mguu uko kama fimbo ya kupopolea maembe na nyie mnasifu kuwa ana pajaz?
ReplyDeletemimi fifi wala sitii neno,kiuno lainiii..lkn sio sababu ya yy kujua kuzungusha nyonga kwa bed..
ReplyDeletetofautisha kukata kiuno ukiwa umesimama upo frexible na kukata kiuno ukiwa na mtu juu yako ama kakushikilia..kiuno cha bed kina mafunzo yake tofauti na jukwaani..ndomaana makabila flan flan wakati wa kufundishwa kiuno cha bed lzm akaliwe na mtu juu.
ila huyo maimartha jamani hebu mshaurini apunguze mkorogo!
kwani weusi ni ubaya na weupe ni uzuri? ndomaana wazungu wanachizika sana na wadada weusi kuliko weupe,,yan ni tabia za watu wasioenda shule,kwa msomi mkorogo hata haufai,weusi wako unaunulia malotion ya ukweli unakuwa soft km chocolate vile!