Mabondia Francis Cheka (shoto) na Mbwana Matumla (kuume) wakiwa na Meneja wao Juma Ndabile mara baada ya kuongea na wanahabari leo jijini Dar juu ya mkataba wa mwaka mmoja aliosaini na mabondia hao ili kufanya nao kazi.
Meneja huyo atakuwa na jukumu la kuwatafutia mabondia walimu kwa ajili ya mafunzo na kuwatafutia mapambano mbalimbali ya ndani na nje ya nchi pamoja na kuingia mikataba mbalimbali ya mapambano na udhamini.


SOME TIME SISI TULIO MBALI MBALI TUNAFIKIRIA UNAFANYA UTANI KUMBE NDIO HALI HALISI HAO NDIO MABONDIA WETU WA KULIPWA NA MJAMAA HAPO NDIO MENEJA WAO,KUMBE BONGO UNAWEZA KUAMKA ASUBUHI UKAWA MENEJA WA NDONDI HATARI.
ReplyDelete