Mabondia Francis Cheka (shoto) na Mbwana Matumla (kuume) wakiwa na Meneja wao Juma Ndabile mara baada ya kuongea na wanahabari leo jijini Dar juu ya mkataba wa mwaka mmoja aliosaini na mabondia hao ili kufanya nao kazi.
Meneja huyo atakuwa na jukumu la kuwatafutia mabondia walimu kwa ajili ya mafunzo na kuwatafutia mapambano mbalimbali ya ndani na nje ya nchi pamoja na kuingia mikataba mbalimbali ya mapambano na udhamini.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. SOME TIME SISI TULIO MBALI MBALI TUNAFIKIRIA UNAFANYA UTANI KUMBE NDIO HALI HALISI HAO NDIO MABONDIA WETU WA KULIPWA NA MJAMAA HAPO NDIO MENEJA WAO,KUMBE BONGO UNAWEZA KUAMKA ASUBUHI UKAWA MENEJA WA NDONDI HATARI.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...