
FAMILIA , NDUGU , JAMAA NA MARAFIKI, WANA WAALIKA WATU WOTE KUHUDHURIA KISOMO CHA HITIMA YA BABA YETU SIMBA WA VITA , HAYATI RASHID MFAUME KAWAWA.
ITAFANYIKA :ST ANNES MOSQUE-ST ANNES ROAD
TOTTENHAM,
LONDON N15 5QG
JUMAMOSI JANUARI 9, 2010
SAA: 9 JIONI
KWA TAARIFA ZAIDI WASILIANA NA :
SHABANI KAWAWA
TEL: +44 07731802787
AHSANTE
SAA: 9 JIONI
KWA TAARIFA ZAIDI WASILIANA NA :
SHABANI KAWAWA
TEL: +44 07731802787
AHSANTE
NEAREST STATION : SEVEN SISTERS STATION
BUSES:341,29,141,341,67
ahsante sana kwa mualiko wa kisomo ila tu nadhani mualioko haujakamilika maana umesema saa ya kisomo lakini haujasema ni siku au tarehe gani, hivyo tunaomba tuelezwe tarehe ili tuweze kujipanga na kuhudhuria haghfla hiyo hsanteni
ReplyDeleteKupitiwa
ReplyDeleteSATURDAY 9th JANUARY 1500HR Kwa Taarifa Zaidi Wasiliana na Shabaan Kawawa.
Rafiki