SERIKALI YA MSETO ZANZIBAR
kwanza natowa shukrani kwa viongozi wa vyama viwili CCM & CUF kukubaliana kukaa upya kuzungumzia masuala ya matatizo ya uchaguzi wa ZANZIBAR .hapa wameonesha uzalendo halisi kwa faida ya nchi yetu , wahenga wamesema (in politics there is no enemy) lazima wanasiana baada ya uhasama watakaa juu ya meza na kupeana mikono .
MADA YA KUJADILIWA
(serikali ya mseto)
hivi katiba ya nchi inaruhusu kuwa na serikali ya mseto ??
au katika nchi yetu rais anaweza kuamua kuunda serikali ya mseto??
hapa ninachoshaanga zaidi hivi vyama vya upinzani vingine ambavyo havikuwa hata kwenye uchaguzi wa ZANZIBAR na nyenginevyo vilikuwa ndani ya uchaguzi lakini hawakupata kura ,lakini wanalilia kuwa kwanini hawawakilishwi kwenye vikao vya muafaka na wanahoji kwamba lazima na wao wawepo kwenye serikali ya ya mseto jee hii ni sahihi ??
mimi nimeishi miaka 25 Norway na kwa muda huo serikali 5 zimeudwa za mseto na hata hii iliyokuwa madarakani ni ya mseto .
hapa ninachojuwa kwamba serikali ya mseto huundwa baada ya kila mshirika kuleta kura zake alizoshinda na atapata ushirika wa kuunda serikali kutokana na wingi wa kura zake .kwa mfano nchi ina wizara 15 kwa maana hii chama (A)kimepata aslimia 40 chama( B) aslimia 15 , chama (C) aslimia 10 . kwenye serikali hiyo chama A kitachukua wizara muhimu kuliko vyama vingine japokuwa kwa idadi watagawana kutokana na wingi wa mavuno ya kura zao kwa kila chama.
lakini hapa kila chama huingia kwenye uchaguzi kivyake ila vyama huwa na mahusiano tangu mwazo kuna mlingo wa kulia na mlingo wa kushoto kikawaida chama cha mlingo wa kulia hushirikiana na mlingo wa kulia . baada ya uchaguzi matokeo yakitokea kama hakuna chama kilichojinyakulia ushindi wa kuchukua serikali . Hapo mlingo mmoja hutafuta muafaka kwa mweziwe na kuunganisha matokeo ya kura zao ili waweze kuunda serikali ya mseto . Jee mfumo huu unaruhusu TANZANIA AU HUKO ZANZIBAR ????
sasa hivi vyama vinavyosema navyo vinataka kuwepo kwenye muafaka wakati havina kura za huko ZANZIBAR vinakuwa havielewi siasa au vinataka malumbano tuu .
ushauri wangu hivi vyama vingine vielewe kwamba ili kuingia kwenye mseto wajitahidi kupanda mchele au choroko mapema kwani uchaguzi ni miezi 11 ijayo kuanzia sasa na wakishindwa kuvuna mchele au choroko hata maji ya KILIMANJARO (kura chache) yatasonga mseto
MUNGU IBARIKI TANZANIA
SLIM
slim_slim10@hotmail.com

HOJA NYINGINE IWE WASOMI MAPROFESA WA CHUO KIKUU KUDAI AJIRA YA SERIKALI BAADA YA KUSTAAFU! HIVI HAWAWEZI KUJIAJIRI BILA KUTEGEMEA SERIKALI? MIMI NILIDHANI WASOMI WANAOUWEZO ZAIDI KUJITEGEMEA! KUMBE MANENO TU! NDIO MAANA HAWAKUTAYARISHA WASOMI VIJANA KUCHUKUA NAFASI ZAO!! AIBU KUBWA KWAO BINAFSI, KWA CHUO NA KWA TAIFA!!
ReplyDeleteKaka nimeona kuendelea kuwa anonymous kila mara si vizuri. vipi leo libeneke bilabila naona!!
ReplyDeleteHoja ya Zanzibar kuwa na serikali ya mseto tangu mazungumzo kati ya seif na Karume yafanyike imekuwa kwenye agenda.
ReplyDeleteMimi naona katiba siyo tatizo kwani baraza la wawakilishi lipo na ni suala la kuweka kikao na kufanya marekebisho ya muda ili karume apewe muda wa kuandaa mazingira ya serikali ya mseto ambayo itavishirikisha vyama vyote vyenye wabunge zanzibar.
Ng'atuka wakati una akili.
ReplyDeleteKinachotia shaka ni kuwa. CUF wao wamesema maamuzi yao ni kutokana na kamati kuu yao kukutana na kufanya makubaliano na Karume. Lakini kwa upande wa CCM maamuzi ni ya mtu mmoja tu sio kamati Kuu. Pengine kaamua Karume peke yake bila kushikisha wenziwe ndio maana watu hawafahamu na la pili baraza la wawakilishi linakaa baada ya kamati kuu ya ccm na kamati kuu ya cuf kufikiana makubaliano sio Karume na Seif.
Mseto kwa mazingira ya Zanzibar ni Government of National Unity--Serikali yenye umoja wa kitaifa. Kwa Zanzibar ukitegemea utaratibu wa kidemokrasia wa mshindi anachukua kila kitu kile Chama ambacho kinachochukua kila kitu kikitaka kutawala kwa muafaka ni hakiwezi kuwapuuza wale wengine.CCM ina kura 57% na CUF 43%. Sasa hiyo 43% CCM inaweza ikawapuuza halafu iendelee kutawala bila mikwaruzo. Mazingira ya Zbar yanahitaji an acceptable functioning system. Wazo la mseto inaelekea kuwa ndiyo acceptable. Kinachotakiwa ni modalities and who gets what and does what. Je hoja ya CUF ya kupeleka uchaguzi mbele ina hila kama ambavyo Makamba anavyodai? And what happened to the referundum iliyokuwa proposed na CCM halafu ikapingwa na CUF? Tunahitaji a give and take approach ili tufikie a win-win situation.
ReplyDeleteIn politcs there is no permanent freinds, no permanet enemies but there is permanent interest.
ReplyDeletela muhimu mseto uwepo, ili mgogoro wa Zanzibar umalizike.. CCM huwa wanaiba kura kila siku, kama ingekuwa kura haziibiwi sasa hivi CCM zanzibar wangekuwa wapinzani na wala sio chama tawala. Katiba sio kikwazo.. kwanza baada ya hilo watanzania tunapaswa kukaa chini na kuamua katiba mpya.. iliyopo sasa ni ya mwaka 47. Haitufai.
ReplyDeleteMdau wa kwanza nadhani hujui unaloliongea.....serikali hii hii ilisitisha vyuo vikuu (UDSM) isiajiri ktk miaka ya 1990 sasa ulitaka wasomi waajiri kwa kutumia mishahara yao au?? Kama huko Tanzania kwa sasa bora uulize kwanza kabla hujatoa maoni ambayo yanaonekana ni kichekesho.
ReplyDeleteunasema wasomi wangekuwa na uwezo wa kujiajiri, je kwa mshahara upi?? Ni juzi tu mishahara ya wahadhiri angalau imepanda na bado tuko nyuma ya nchi kama Kenya na rwanda kwa mishahara ya wahadhiri leo unataka wajiajiri?? Au unataka wakaanzishe chekechea??
Huoni kwanza wasomi wetu kwa sababu ya mishahara kiduchu wanankimbilia kuanzisha baa eti ni miradi, wengine wanafuga nguruwe badala wangejenga mashule, viwanda vidogo, mahospitali n.k.?
Mpaka hapo serikali inayokuwa madarakani itathamini wasomi na michango yao ndiyo nao wataonekana ktk jamii na wataweza kujitegemea.
mimi naona kuwa na serikali ya mseto si suluhisho tayari watu walisha haribiwa akili kwa kuwabaguwa pili nazani kulikuwa na wakati mzuri kwa hawa wanaotaka kuongezeana muda kulishughulikia tatizo hili pale mwanzo baada ya uchaguzi maana si siri hakukuwa na tafauti kubwa ya kushinda hata ukisema hakukuwa na mshindi ilikuwa sawa pale ilikuwa kama kweli kulikuwa na haja ya serikali ya mseto ilileta maana inakuwaje zimebakia siku kumaliza kwa muda wa urais wa huyu rais wa sasa hili swala ndo lije juu nakubali kuwa nia njema ipo kwa wanzanzibari tuwe pamoja lakini tupige uchaguzi uongozi mpya uweko madarakani hoya ya kuwa na amani ya taifa ni hoja ya kila mzanzibari hakuna mzanzibari atakae fujo swala la umoja wa kitaifa ni la wazanzibari wote si la mh.karume wala mh. seif waje na kwakuwa ni letu sote na sote tunalihitaji hata hao watakao pata ridhaa ya ya kuchaguliwa watalishughulikia sioni haja ya kuongezeyana muda
ReplyDeletemungu ibaraki zanzibar
mungu ibaraki tanzania
mingu ibariki afrika
Kwa Anonymous #1, Hvi unajua km hawa ni watu bora ktk Taifa, jamaa halili ajira kabisa nina imani na uhakika kua jamaa anaweza kupata ajira kwengine na ya maana tu maana haiwi wanafunzi nao kutaka awepo, jamaa analilia Taifa anajua uchungu wa taifa, wapi katoka kawaida mtu hujua wapi anatoka ila si rahisi kujua wapi anakwenda. Mpeni mkataba hyu mtu muhimu, chuo chenyewe kina upungufu wa Wahadhiri.
ReplyDeleteMUNGU IBARIKI ZANZIBAR NA WATU WAKE.
mzanzibar halisi.
Mimi kwa mtizamo wangu hoja ya Zanzibar karume bora asiongeze hata akiongeza itakuwa ndo yale yale na kwanini asifanye term yake ya 2 na anakuja kufanya kipindi cha lala salama kwa anaefahamu hatokubali hata siku 1 alijuwa mapema kama ccm wenzake watamkataa ndo mana akaitowa kauli ile yeye mwenye binafsi anataka lakini anajuwa kama hatopewa
ReplyDeleteMdau toka zenj
Ndugu yangu ulieweka hii mada kwanza unatakiwa uweleweki katika jambo unalotaka kuzungumzia -kwanza umeuliza maswali kama katiba inaruhusu serikali ya mseto au la.pili umeonyesha kupinga vyama vingine visiingie kwenye serikali ya mseto eti kwa sababu havikuwepo kwenye uchaguzi au havikupata kura kwenye uchaguzi.
ReplyDeletePia umetoa mfano wa serikali ya mseto ya norway ilivyoundwa.sasa jaribu kuwa katika jambo moja tu kisha tuchangie kuliko huku maswali,huku maoni huku mifano.weka sawa mada yako
Kisichoweza kufanyika in 11 months kwa nini niamini kinaweza kufanyika in 15 months?
ReplyDeleteVurugu za uchaguzi Zanzibar kinatokana na wizi wa kura, kama miaka kibao baada ya uhuru badohatuwezi kuwa na uchaguzi huru na wa haki sasa huo uhuru una faida gani?
Jibu la vurugu ni tume huru yenye uwezo. Huyo bosi wa sasa anasema private candidates haiwezekani kwa sababu itamaanisha gharama zaidi za kununua makaratasi na penseli, hwenzangu hamuoni kwamba hapo ni kukosa seriousness?
Slim, za muda?
(US Blogger)
HAKUNA HAJA YA KUUMA UMA MANENO SASA NI WAKATI MUAFAKA KUFIKIRIA JUU YA MUUNGANO WETU:
ReplyDeleteAMA TUWE NA:
1. SERIKALI MOJA NA NCHI MOJA AU
2. SERIKALI MBILI NA NCHI MBILI TOFAUTI(MOST FEASIBLE)ILA TUWE NA JUMUIYA KAMA JUMUIYA YA TAZA (TAZA COMMUNITY) TUKIKUBALIANA KUSHIRIKIANA KIUCHUMI N.K NA BADO TUNAWEZA KUKUBALIANA KUWA UNAWEZA KWENDA NCHI NYINGINE BILA KUHITAJI VIZA (KATIKA NCHI ZETU).
JAMANI HAKUNA HAJA YA KUNGÁNGÁNIA KITU WAKATI KUNA MALALAMIKO YA KILA WAKATI KICHINICHINI PANDE ZOTE MBILI.
WAKATI FULANI HATA TALAKA HUWA NI SULUHU YA AMANI NA YA MAENDELEO KULIKO KUENDELEA KUISHI CHINI YA PAA MOJA HUKU HAMSALIMIANI AU MNASHUKIANA AU HAMUHESHIMIANI AU MNALALAMIKIANA KUTOPEANA HAKI MIAKA NENDA RUDI.
KAMA ILIVYOKUWA WAKATI WA CHAMA KIMOJA, SABABU ZA MUUNGANO KWA WAKATI ULE ZILIKUWA NZURI NA ZINAZOFAA, LEO PENGINE TUNAHITAJI KUUNGANA KWA MTINDO TOFAUTI!
SERIKALI YA MSETO LINI? NA UCHAGUZI NI MWAKA HUU, KUZUNGUMZIA MSETO SASA NI TOO LATE, LET FIRST ELECTION TAKE PLACE AND SEE, HII INAONEKANA VIONGOZI WAPO AFTER VYEO SI KUSAIDIA WANANCHI KWA NINI WANAZUNGUMZIA MAMBO YAO TU!!! WANACHI AMKENI KUWENI MAKINI MUDAI KATIBA YENYE MENO AMBAYO ITAWAPENI HAKI ZENU ZA PAMOJA ZA KUMCHAGUA KIONGOZI BORA NA KUWAPENI UWEZO WA KUMTOWA MADARAKANI KIONGOZI MBOVU, MWIZI NA MPENDA MADARAKA TU MWENYE UTENDAJI ZERO
ReplyDeletehoja ya serikali mseto zanzibar ni ngumu kutokea kwa miaka ya sasa labda kwa miaka ya baadaye kwasababu CCM ndio chama tawala kwa taifa zima. kumbukeni kuwa ccm ni chama kinachopigania kwa nguvu zote kubaki madarakani milele. Na hoja ya mseto ilishapingwa siku nyingi na ccm. ukiangalia wananchi wenyewe wa zanzibar wameridhika na utawala wa ccm. kwa nchi zingine kama india, uingereza, ujerumani wao wana serikali mseto na hawana matatizo nayo kwasababu demokrasia ya watu imepewa kipaumbele. lakini kwa zanzibar ni tofauti.
ReplyDeleteVYAMA VINGI VINAINGIA UCHAGUZI MATOKEO YAVIPA VYAMA VIWILI USHINDI WA ASILIMIA 49 NA 51 HAKUNA KURA ILIYOHARIBIKA BARA HUWA ZIPO WANZETU HUKO NI WASOMI ZAIDI! ALIYEPATA ASILIMIA 49 AMEPATA WABUNGE WENGI ZAIDI YA YULE WA 51, SASA NI CHAMA GANI KINACHOPENDWA ZAIDI NA WANANCHI.
ReplyDeleteZanzibar ni mseto au ubwabwa tuu safari hii.Aidha kwa wale wengi ambao huona umuhimu wa uchaguzi visiwani Zanzibar, napenda nikuulizeni.Nini muhimu amani ya Zanzibar au uchaguzi?
ReplyDeleteNaona ni bora Karume apewe muda amalize na arekebishe mazingira ya kisiasa visiwani humo.
Uchaguzi na huku ZEC na CCM washajipanga kuiba na kukwepa wazanzibari wasipige kura...obviously, kukimbilia uchaguzi ni kurudisha nyuma jitihada zote zilizo fikiwa hapa.
Aidha kwa wengine munao sema muna wasi wasi kuwa muafaka huu kwa upande wa CCM ni Karume pekee.Hiyo ni kweli kabisa, CCM bara kina Msekwa, Makamba ni watu ambao hawaitakii mema Zanzibar.Na wao ndio walikuwa wakizuia na kuweka vikwazo miafaka yote ifeli.
cheers