Home
Unlabelled
JK akutana na wataalamu wa kilimo na mifugo leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mabonde ya kulims tunayo mengi tuu, Rufiji, Ruvu na mengine hayahesabiki. Chuo kikuu cha kilimo tunacho SUA ambacho kinatoa degree mpaka za phD. Sasa bado sielewi utaalamu gani tena wa kulima ambao inabidi wazungu waingie ikulu yetu namna hii. Hivi vyuo vinagharimu pesa kuviendeleza na kama pamoja na yote hayo bado tuu ni lazima wazungu wazungu waje namna hii kutufundisha kulima, basi ni bora hivi vyuo vifungwe ili kuokoa pesa, na tujue kwamba badala ya kuwekeza kwenye sekta ya kilimo tutakuwa tunanunua wataalamu wa nje. Hii ni bora kuliko kuwekeza katika kilimo na pia kuendelea kununua wataalamu wa nje.
ReplyDeletehivi baraza la mawaziri lina waziri wa kilimo na mifugo? mbona simwoni hapo kwenye picha?
ReplyDelete